Nnavyojua Mimi,
Mwanaume ameumbwa kutawala na sio kutawaliwa.
Mwanaume ameumbwa kuzitatua changamoto na sio kuzikimbia.
Hata vitabu vya dini vinatuambia
"Ishini na wanawake kwa akili"
Kwa kutumia uwezo alitujalia wanaume mwenyezi Mungu wetu, tangu dunia hii imeumbwa,
Mwanaume ili ukamilike unatakiwa uwe na uwezo wa Kuishi na Kila Aina ya mwanamke .
Ukijiona unalalama Sana kuhusu wanawake au unataka kujitenga nao,
Unakua unamfanyia UHAINI mwenyezi Mungu wako alokuumba.
Unahujumu kwa wazi kabisa juhudi za mwenyezi Mungu wako alokuleta duniani.
Maana uliletwa duniani uijaze dunia,
Sasa wee dunia unaitaka ukaijaze na Nani Sasa Kama sio hao wanawake unaowalalamikia?
Au unataka ukaijaze na gogo la mti?
Au Unataka ukaijaze na kipande Cha sabuni?
AISEE YAANI INGEKUA ZAMA ZILE ZA AGANO LA KALE,
Mungu anashusha adhabu ON SPOT, Ulipaswa upigwe radi ufariki hapo hapo kwa kumhujumu Muumba wako.
Vinginevyo,
ukiri mwenyewe na utubu kua alokuumba, alikuumba bila kukukamilisha.
Maana ake,
Umeumbwa mwanaume, ila Ni mwanaume ambae ujakamilika Kama MWANAUME KAMILI.
HATA Wanawake MAKAHABA, WADANGANJI,WACHUNAJI,VICHECHE, na viburi nao wanahitaji upendo.
Na wapo walioolewa na ndoa zao zimekua na mafanikio kuliko hata baadhi ya zile ambazo mlidhani mwanzoni wanawake walikua 81%- 100% perfect
Ni uwezo wako tu ALokujalia mwenyezi Mungu.
utaoweza kuibadilisha 0% iliyo vichwani mwao, kua 100% unayoitaka wewe.
MWANAUME UKIJIONA HUWEZ KUISHI NA MWANAMKE, BASI JUA HUNA AKILI.
Nakupa mfano;
Mfalme suleimani, aliishi na wanawake zaidi ya 1,000
na Hakuna mahali aliwai walalamikia wanawake zake mpk anarudi kwa Muumba wake.
Kwaiyo, Ukijiona wee huwez Kuishi na mwanawake mmoja au wawili TU wanakupasua kichwa
TAMBUA KABISA WEWE SIO RIZIKI kabisa, maana hukujaliwa riziki iyo na mwenyez Mungu wako alokuumba.
ACHANA KABISA NA ishu za WANAWAKE, wee FANYA tu ISHU NYINGINE.