Wanawake wa sasa hawahitaji akili kuishi nao, wanahitaji moyo mgumu

Wanawake wa sasa hawahitaji akili kuishi nao, wanahitaji moyo mgumu

Mimi nalubaliaa na weee 100% Niggas focus on yourselvs Man.. Billgate mwenyewe jana katangaza kuvunjika ndoa yake.. Tafuta Hela, invest it, buy the things that keep you happy tv, ps4(it sharpens and keeps you busy) , magari and anything (wanaume tunajua vitu vyetu).

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Now ps 5 mkuu😁
 
Ukitaka kuchakaa na kufa mapema kuliko ilivyopaswa endekeza upumbavu na ujinga ujinga wa mwanamke. Wanawake hata wenyewe tu hawazielewi vizuri akili zao.
Matumizi ya akili kwa mwanamke mjinga mjinga ni mtumizi mabaya sana ya akili zako. Mambo ya kutumia akili yapo mengi sana sio kwa wanawake hawa wajinga wajinga wa sasa.
Waambie vijana waelewe wenyewe wanadhani maishani Ni kudeal na wanawake tu
 
Napigia mstari hapo kwenye maamuzi magumu na kutokurudi nyuma.


Kama huna maamuzi magumu dont be committed HUTAWEZA mahusiano.
 
Ni ukweli usio pingika kwamba dunia ya Sasa imejaa wanawake wapuuzi,matapeli,majizi, majuaji nk.

Hivyo basi kuishi na watu wa sampuli hiyo ukitumia akili utapoteza muda wako na nguvu zako kusumbuka na jitu lisilo jitambua linataka nini katika maisha.
Miles unafurahisha sana, umeshaona mwanamke ni mwizi, tapeli, mjuaji, muongo muongo n.k na bado unataka kuishi/ kudate nae, ndio matatizo ya kutumia roho ngumu badala ya kutumia akili unapodeal na wanawake.

Mwanaume anayetumia akili lazima afanye vetting na due diligence ya kutosha kabla ya kuingia kwenye serious relationship coz we know we are responsible for our actions.

Ukitumia akili utajua some women are not good for you for your own benefit, lakini ukitumia roho ngumu we ukiona mtoto mkali ata kama ana red flags kibao utafanya maamuzi magumu ya kujilipua na roho ngumu mbeleni, is that pussy worthy all that?
Hivyo Kama wewe ni kijana wa kiume hakikisha unajijenga kuwa na moyo mgumu wenye maamuzi magumu hata Kama unaumia ila maamuzi yakisha toka na iwe hivyo ndivyo ulivyo amua na sio kuanza kurudi Rudi nyuma.

Yaani ukisha ona mkeo sijui girlfriend wako kanza kukuonesha taa za njano kuashiria taa inayo kuja hapo Ni nyekundu basi hakikisha unamfanyia surprise kwa kumtangulia mbele yake na kumuonesha utaira ambao hajawahi kuuona kwako.

Nakuambia ukizembea imekula kwako,ndio maana leo wanawake wanaingia kudanga Hadi ndoani yaani akisha jaza mfuko wake akisha ona ametosheka tu analeta za kuleta ili ndoa ife a hukue na kiinua mgongo Cha hamsini kwa hamsini akale Bata na maboya zake.

Sitachoka kuendelea kuwaasa wanaume tuendelee kufanya mambo kwa ajiri yetu na badae yetu maana tukizeeka bila kuwa na pesa tunatia huruma sana jaman

Haya mambo ya kuokota wanawake anacho miliki Cha thamani Ni smart phone na kibegi Cha kubebea mafuta ya kulainishia marinda yao wanavyo kobolewa Ni ujinga , yaaani unahangaika na kujitoa kwa mwaname anae changia kitobo tu kwenye mahusiano alafu mwisho wa siku anataka kuondoka na kipande Cha nyumba au biashara Ni usenge wa kufa mtu. Wanaume tunahitaji kuwa na mioyo migumu Sana ....hata Kama umependa vipi maamuzi magumu yanahitajika la si hivyo utadhurumiwa mapenzi yako na Mali zako pia zitazulumiwa ushindwe kula Bata na vibinti chipukizi.

Inauma mwenye masikio na asikie , najua Kuna mbuzi watakuja hapa ooooh.....mtoa maada katoswa sijui mapenzi yanamtesa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
. .....kukuweka wazi jioni ya leo naenda kula toto la kinyaturu maana kanisogezea Sana nikile nilikua naleta pozi cos muda wa kusaka mfariji wangu pesa ulikua umebana Sana so Leo ndio nimepata chance
emoji39.png
emoji39.png
emoji39.png
emoji39.png
tukutane kwenye kula kimasihara Leo usiku.

NB: Mwanaume ukishindwa kujipenda, kujithani na kuitambua thamani yako umeisha.......nasema umeishaaaaa
 
Wanawake wanaanza kukutawala ukianza kuonyesha mwenyewe hujiamini.

Mwanaume unaejiamini huwez kuogopa kudate na mwanamke yeyote uliempenda.

Ukianza kuwaogopa Sana wanawake hata majukum ya kuwahudumia utaona Kama unaonewa.

Kumbe ni wajibu wako mwenyewe Unapaswa kumhudumia mwanamke wako.

Asilimia kubwa ya Wanaume wasiojiamini ndo wale wanaokimbia MAJUKUMU yao na kuanza kuipigia hesabu pesa ya aliyoitolea jasho mwanamke wake.
Kabisa mkuu
 
MWANAUME UKIJIONA HUWEZ KUISHI NA MWANAMKE, BASI JUA HUNA AKILI.

NA TAMBUA KABISA WEWE SIO RIZIKI kabisa, maana hukujaliwa na mwenyez Mungu wako alokuumba.YESU AMBAYE NI JEMEDARI WA DUNIA ALIWASEPA WALA HAKUGUSA MBUSUSU MI NI NANI NIISHI NAO NIPINGANE NA MWANA WA MUNGU

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
🤣🤣
 
Back
Top Bottom