Wanawake wa sasa hawahitaji akili kuishi nao, wanahitaji moyo mgumu

Now ps 5 mkuu😁
 
Waambie vijana waelewe wenyewe wanadhani maishani Ni kudeal na wanawake tu
 
Napigia mstari hapo kwenye maamuzi magumu na kutokurudi nyuma.


Kama huna maamuzi magumu dont be committed HUTAWEZA mahusiano.
 
Miles unafurahisha sana, umeshaona mwanamke ni mwizi, tapeli, mjuaji, muongo muongo n.k na bado unataka kuishi/ kudate nae, ndio matatizo ya kutumia roho ngumu badala ya kutumia akili unapodeal na wanawake.

Mwanaume anayetumia akili lazima afanye vetting na due diligence ya kutosha kabla ya kuingia kwenye serious relationship coz we know we are responsible for our actions.

Ukitumia akili utajua some women are not good for you for your own benefit, lakini ukitumia roho ngumu we ukiona mtoto mkali ata kama ana red flags kibao utafanya maamuzi magumu ya kujilipua na roho ngumu mbeleni, is that pussy worthy all that?
 
Kabisa mkuu
 
🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…