Wanawake wa siku hizi mmekua wepesi kutongozeka hadi mnaboa

Nakuunga mkono mtoa mada. Ni kweli dada zetu wanatoa fursa kirahisi sana si kama zamani. Naomba kushea xperience yangu ya leo japo inaweza kuwa tofauti kdg na dhana ya mleta mada. Leo bana niliamka nimevurugwa nikasema niende massage parlour moja hivi kuweka mwili fresh. Kuingia nae room mtoa huduma akaniambia nivue nguo zote.. Nikamkatalia nikamwambia the best I can do ni kuvua suruali tu nitabaki na boxer. Akasema sawa.... Wakat zoez linaendelea, nikamwona anavuka mipaka, nikamweleza mie sijaja kwa hizo mambo, akaniambia kaka yangu nimebanwa naomba unisaidie.. sitokuchaji hata mia! I was like WTF*** but shetani ana nguvu sana, nikambidua na kakamwaga mma si kitoto! Mpk jioni hii najiuliza wht the hell was that??? So cheap!
 
yeye ndo cheap au wote wawili ni cheap?
 

Cheap?! Seriously?! Na mlifanya hilo tendo pamoja?
 
Hukuongea kwa dakika 3 mpaka mlivyofika Chalinze? Sijaelewa hapa
 
yeye ndo cheap au wote wawili ni cheap?
Yeye ndio cheap. Anawezaje kutoka kwenye misingi ya huduma A hadi B? Mie nimeshawishika tu kwa kweli lakini I had no idea at all... Imagine mtu anakushika shika pembezoni mwa naniliu huku anakubembeleza.. Mungu anisamehe!
 
Yeye ndio cheap. Anawezaje kutoka kwenye misingi ya huduma A hadi B? Mie nimeshawishika tu kwa kweli lakini I had no idea at all... Imagine mtu anakushika shika pembezoni mwa naniliu huku anakubembeleza.. Mungu anisamehe!
Aiseee, you have left me speechless. Ila nadhani hata kama ni magonjwa atapata tu yeye, wewe hutopata
 
Huuoni urahisi wako?! Anyway,birds of the same feather?! ........................!
 
Cheap?! Seriously?! Na mlifanya hilo tendo pamoja?
I wish ungeweza kuipa uzito hii scenario mkuu.. Free lunch!!? Mtu anakupa eti kisa tu amezidiwa? And to fuel it akawa anasema ur cock is really tempting.. Huku anataka km kuigusa na kuiacha. Nilifanikiwa kumzuia mara mbili tatu tu, ya nne.....Mmh.. Na hakudai hata hela kweli!
 
Yaani unaona wao ndio tatizo ila wewe umalaya wote huo 😀 hujioni
 
Hivi leo ni siku ya wajinga?
 
Wanaokula vitamu hawaongei.

At times u gotta play the role of a fool to fool the fool who thinks is fooling you.

Ma changu yote hayo.
But who is more foolish, the fool or the fool who follows him?
 

we chezea watoto wa watu wa kwako nao watafanyiwa hivohivo.Ningekuona mjanja kama kati ya hao japo unge-propose UCHUMBA ili utulie.HAYA AISEE ILA MALIPO HAPA HAPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…