Wanawake wa siku hizi nani kawaroga?

Hahaha kwa nyuma tu ndo nshawahi kuibamiza hadi mfuniko ukapasuka. Sema haya ma-cover ya simu yananisaidia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ukishindwa kabisa unipe nikusaidie. mia
 
Aaaah.... Mie tangu nimeanza kumiliki simu 2004, nimeshapoteza simu 3 tu! Tena katika mazingira yaliyo nje ya uwezo wangu....

Otherwise huwa nadumu sana na simu, but maximum 1 year nabadili
 
Waambie, wengi wanajua kupiga, kupokea, kutuma sms, kupiga picha na kuziangalia... halafu anataka simu ya milioni moja..

Kesho tu kaipoteza anataka nyingine... 100!
Akishapata mpya anapiga picha ya mgeuko, yaani anampa simu mtu ampige kwa kutokea nyuma aonekane mgongo na huku nyuma. Hiyo style sijui nani kaileta. Mimi nimezoea kuona picha unamface cameraman. lakini wenzetu ni tofauti

mia
 
Aaaah.... Mie tangu nimeanza kumiliki simu 2004, nimeshapoteza simu 3 tu! Tena katika mazingira yaliyo nje ya uwezo wangu....

Otherwise huwa nadumu sana na simu, but maximum 1 year nabadili
Hongera sana. mpe hi C6. mia
 
Kaaa mbona mmetuandama ivo kila saa wadada wadada tumewakosea nn jaman
 
shemeji hata mi nataka simu mpya embu ongea na mdogo waka kiwatengu vizuri
 
Last edited by a moderator:
wengine huwa tunatumia simu hadi innazeekea mkononi,tangu nianze kudandia mabasi huwa naonaga tu watu wanaibiwa
hata sielewi inakuwaje nshaibia sh mia tano tu tena niliiweka kizembe so sikumlaumu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…