figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #41
Najenga picha ulivo iharibu hiyo simu ndani ya miezi miwili. miaSasa ndo unancheka? Mia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najenga picha ulivo iharibu hiyo simu ndani ya miezi miwili. miaSasa ndo unancheka? Mia
hahahahahahaaaa.....!!! nyie watoto mwanipa raha sana. miaNapokea kwa imani.....mia
Ukishindwa kabisa unipe nikusaidie. miaHahaha kwa nyuma tu ndo nshawahi kuibamiza hadi mfuniko ukapasuka. Sema haya ma-cover ya simu yananisaidia
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ungesema pokea kwa idadi ya vidole vyako au nywele. miaAhahahahah...pokea Aina Kali zilizopo na zijazo...pokea kwa idadi ya mikono yako...pokeaaaa
Basi ntampeleka Khantwe na Heaven Sent tu. Hata wakipata hizo mimba wana uwezo wa kustahimili. miaukipeleka kwa gwajima, ujue mimba itaingia kabisaa...
Akishapata mpya anapiga picha ya mgeuko, yaani anampa simu mtu ampige kwa kutokea nyuma aonekane mgongo na huku nyuma. Hiyo style sijui nani kaileta. Mimi nimezoea kuona picha unamface cameraman. lakini wenzetu ni tofautiWaambie, wengi wanajua kupiga, kupokea, kutuma sms, kupiga picha na kuziangalia... halafu anataka simu ya milioni moja..
Kesho tu kaipoteza anataka nyingine... 100!
Ungesema pokea kwa idadi ya vidole vyako au nywele. mia
Hongera sana. mpe hi C6. mia
Doooooooooh!!!!!Anataka simu ya camera ili
![]()
mia
Kaaa mbona mmetuandama ivo kila saa wadada wadada tumewakosea nn jaman
kumbe na wewe ni mdada?
We ulijua ni me
hilo jina rafiki yangu...
shemeji hata mi nataka simu mpya embu ongea na mdogo waka kiwatengu vizurifigganigga, hawa wanawake ni mama, binamu, dada, wachumba, wake, mashemegi na wapendwa wetu kwa ujumla wake, lakini likija suala la matumizi ya simu hapo umesema ukweli kabisa, achana na lakupoteza mtu anaweza kutuia simu muda mfupi sana kisha eti ameichoka haipendi anataka nyingine.....mia