figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #61
Pole sana dada yangu kwa kuandama. Nia yangu ujirekebishe. Comment zisome kiroho safi hata kama zinakugusa. Luv u..mmwaaa...!!!. miaKaaa mbona mmetuandama ivo kila saa wadada wadada tumewakosea nn jaman
Halafu kama wewe ndo umeachwa anakurudishia simu. Anakuambia "kwani unaniumbua sumbua nini, sitaki unipigie simu, au kwakua ulininunulia hili kopo lako nawe waliita simu..eeh?? chukua takataka yako" Hapo ashanunuliwa simu mpya, muda si mrefu kama miezi mitano itapotea au kunyang'anywa. baada ya siku mbili baada ya kunyang'anywa utasikia simu inaita. Mara "mambo? siku hizi umenisusa kweli, hata simu hupigi?akipata mpenzi mpya anataka na simu mpya
Nikugawie mkuu? miaDoooooooooh!!!!!
Ni wachache sana wenye akili na wanajielewa kama wewe. Watu kama nyie mnafaa kuwa Mke. miawengine huwa tunatumia simu hadi innazeekea mkononi,tangu nianze kudandia mabasi huwa naonaga tu watu wanaibiwa
hata sielewi inakuwaje nshaibia sh mia tano tu tena niliiweka kizembe so sikumlaumu mtu
Mimi jina lako nalipenda. Ukilibadili itaniuma sana. miaUmelielewaje kwan.....ili jina kah itabd nibadili maana kila mtu analishangaa
hahahahaaaa.....!!! miaWe ulijua ni me
ukipeleka kwa gwajima, ujue mimba itaingia kabisaa...
Halafu kama wewe ndo umeachwa anakurudishia simu. Anakuambia "kwani unaniumbua sumbua nini, sitaki unipigie simu, au kwakua ulininunulia hili kopo lako nawe waliita simu..eeh?? chukua takataka yako" Hapo ashanunuliwa simu mpya, muda si mrefu kama miezi mitano itapotea au kunyang'anywa. baada ya siku mbili baada ya kunyang'anywa utasikia simu inaita. Mara "mambo? siku hizi umenisusa kweli, hata simu hupigi?
Mwenzio nipe pole, simu yangu nimeibiwa hapa nilipo nina hasira kama nini. Huna simu ambayo huitumii uniazime kwa siku mbili tatu'. Makubwa!. mia
Nikugawie mkuu? mia
Aaaah.... Mie tangu nimeanza kumiliki simu 2004, nimeshapoteza simu 3 tu! Tena katika mazingira yaliyo nje ya uwezo wangu....
Otherwise huwa nadumu sana na simu, but maximum 1 year nabadili
Ndioooo...nani anataka mlima?. mlima ni mwanamke msumbufu. miaunapenda mteremkooo ee
Hii nimeipenda sana, ukimaliza jusoma huu mtabu ndio utaweza kuwaelewa wadada wa siku hizi!