hivi kwa nini kupush wakati wa kujifungua linachukuliwa swala la kujiproud zaidi???mie sitopush mashine yangu isije chakaa zaidi,nitafanyiwa operesheni wakati wa kujifungua...............................ni kama magari tu ya manual na automatic yote yanakufikisha sehemu unayotaka!!!!.......sasa huyo gynaecologist anayehusisha kazi za nyumbani na uzazi mbona ananishangaza mbona havina uhusiano????au ndio wale wale wanaopasua kichwa badala ya mguu?lol
mwanzo nilifikiri unatania..but unavorudia rudia....naona
kweli hiyo mashine imechakaa lol.....
sipati picha ili take watu wangapi kuifikisha hapo lol
Hi, ukweli ni huu mbali na kudeka na kutofanya mazoezi, Daktari mmoja pale Muhimbili alinidokeza kuwa wanawake wa kisasa kwa ujumla ni wavivu, pili vyakula wanavyokula muda wote si wakati wa ujauzito tu si vya mtu anayejiandaa kuzaa so ENDELEENI KUDEKA TU MTAKULA MIKASI MPAKA MCHAKAE, alafu anaejifungua kwa mikasi huanza kushindwa majukumu ya 6x6 na ladha yake ya machine huanza kupotea polepole. Source Dr. Muhimbili simtaji.

jamani hivi haujui kudeka ni raha sana labda kam huna mtu wa kumdekea ndo inaweza ikaw ishu
Wanapendwa, Wanahudumiwa na Wanajaliwa. Hawana budi kudeka.Na kwanini wadeke?

hivi kwa nini kupush wakati wa kujifungua linachukuliwa swala la kujiproud zaidi???mie sitopush mashine yangu isije chakaa zaidi,nitafanyiwa operesheni wakati wa kujifungua...............................ni kama magari tu ya manual na automatic yote yanakufikisha sehemu unayotaka!!!!.......sasa huyo gynaecologist anayehusisha kazi za nyumbani na uzazi mbona ananishangaza mbona havina uhusiano????au ndio wale wale wanaopasua kichwa badala ya mguu?lol

wanadeka mno siku hizi....

kufua mashine

kuosha vyombo mashine

kupika majjiko ya umeme

ma house girl wawili still....

Mimi nafikiri mazoezi ni kitu cha muhimu ili kuruhusu misuli yote inayohusika na kuzaa iweze kurespong fresh wakati wakati mwanamke anapush .Sasa kama mwanamke hataki hata kutembea tembea kila kitu mashine ikifika wakati wa kuzaa misuli hairespond kwa hiyo hormone oxytocin. USHAURI KWENU MLIO NA MSIO NA WA KUWADEKEA MJITAHIDI KUFANYA MAZOEZI ILI MZAE VIZURI
Jamani tuacheni tudeke yupo wakutedekeza,na laitani mimba ingekua inajaribiwa basi ningeomba ujaribu uone dhiki zake,usingesema tunadeka ivi kwanza una mke?