Jestina
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,828
- 1,712
hivi kwa nini kupush wakati wa kujifungua linachukuliwa swala la kujiproud zaidi???mie sitopush mashine yangu isije chakaa zaidi,nitafanyiwa operesheni wakati wa kujifungua...............................ni kama magari tu ya manual na automatic yote yanakufikisha sehemu unayotaka!!!!.......sasa huyo gynaecologist anayehusisha kazi za nyumbani na uzazi mbona ananishangaza mbona havina uhusiano????au ndio wale wale wanaopasua kichwa badala ya mguu?lol