"Wanawake wa siku hizi wanadeka sana"

"Wanawake wa siku hizi wanadeka sana"

hivi kwa nini kupush wakati wa kujifungua linachukuliwa swala la kujiproud zaidi???mie sitopush mashine yangu isije chakaa zaidi,nitafanyiwa operesheni wakati wa kujifungua...............................ni kama magari tu ya manual na automatic yote yanakufikisha sehemu unayotaka!!!!.......sasa huyo gynaecologist anayehusisha kazi za nyumbani na uzazi mbona ananishangaza mbona havina uhusiano????au ndio wale wale wanaopasua kichwa badala ya mguu?lol

mwanzo nilifikiri unatania..but unavorudia rudia....naona
kweli hiyo mashine imechakaa lol.....
sipati picha ili take watu wangapi kuifikisha hapo lol

Hivi ukiwa mjamzito na unaenda kazini si zoezi tosha? Mie napenda kupush nahisi inakufanya ujielewe zaidi kama mwanamke kamili, na bond nahisi kama inaongezeka hivi kwa mtoto

halafu mpaka wanatia kichefuchefu kwa madeko yao yaso tija

Hi, ukweli ni huu mbali na kudeka na kutofanya mazoezi, Daktari mmoja pale Muhimbili alinidokeza kuwa wanawake wa kisasa kwa ujumla ni wavivu, pili vyakula wanavyokula muda wote si wakati wa ujauzito tu si vya mtu anayejiandaa kuzaa so ENDELEENI KUDEKA TU MTAKULA MIKASI MPAKA MCHAKAE, alafu anaejifungua kwa mikasi huanza kushindwa majukumu ya 6x6 na ladha yake ya machine huanza kupotea polepole. Source Dr. Muhimbili simtaji.

mwanzo nilifikiri unatania..but unavorudia rudia....naona
kweli hiyo mashine imechakaa lol.....
sipati picha ili take watu wangapi kuifikisha hapo lol

hhahhaa hasa kwa nini nidanganye.....haijafikia expiry date ila nahisi nikipitisha mtoto mmoja tu kwishney lol,kuhusu watu sio wengi ila walikuwa na mitarimbo ya haja lol,usiniulize tena lol

Hi, ukweli ni huu mbali na kudeka na kutofanya mazoezi, Daktari mmoja pale Muhimbili alinidokeza kuwa wanawake wa kisasa kwa ujumla ni wavivu, pili vyakula wanavyokula muda wote si wakati wa ujauzito tu si vya mtu anayejiandaa kuzaa so ENDELEENI KUDEKA TU MTAKULA MIKASI MPAKA MCHAKAE, alafu anaejifungua kwa mikasi huanza kushindwa majukumu ya 6x6 na ladha yake ya machine huanza kupotea polepole. Source Dr. Muhimbili simtaji.

unajijijua niuongo,theres no scientific proof,umesema kutokana na unavyoamini tu,ambao ni uongo!

jamani hivi haujui kudeka ni raha sana labda kam huna mtu wa kumdekea ndo inaweza ikaw ishu

inashauriwa kama akiyekupa mzigo upo mbali nae mdekee house boy pia asaidie kuongeza njia

Jamani tuacheni tudeke yupo wakutedekeza,na laitani mimba ingekua inajaribiwa basi ningeomba ujaribu uone dhiki zake,usingesema tunadeka ivi kwanza una mke?

sasa mjini hapa wakalime lami? Mashamba hakuna nyumba ya kupanga sinza cjui manzese. Hebu waacheni wajawazito wa watu

ukipata wakukudekeza deka mwenzagu,siku mambo yakija kubadilika usijekujilaumu

Unajua sehemu nyingine kuna sayansi ya kubeba mimba mwanamke na maumivu na uchungu wote akapata mwanaume nadhani hii ingekuwa inatumika kwa kila mwanaume mngejua kwanini wanawake wanadeka......waacheni wadeke atii.

Kweli wengine hudeka, na hasa mimba za kwanza..ila ni kipindi cha sintofahamu/kutojielewa..hivyo ni vizuri wakasaidiwa kufahamu aina ya mazoezi/shughuli salama kwa afya zao.

hivi kwa nini kupush wakati wa kujifungua linachukuliwa swala la kujiproud zaidi???mie sitopush mashine yangu isije chakaa zaidi,nitafanyiwa operesheni wakati wa kujifungua...............................ni kama magari tu ya manual na automatic yote yanakufikisha sehemu unayotaka!!!!.......sasa huyo gynaecologist anayehusisha kazi za nyumbani na uzazi mbona ananishangaza mbona havina uhusiano????au ndio wale wale wanaopasua kichwa badala ya mguu?lol

Inaonekana maishe yako inachakaa kwa sababu ya uvivu, fanya kazi bibie you will get automatical servise.

Mimi nafikiri mazoezi ni kitu cha muhimu ili kuruhusu misuli yote inayohusika na kuzaa iweze kurespong fresh wakati wakati mwanamke anapush .Sasa kama mwanamke hataki hata kutembea tembea kila kitu mashine ikifika wakati wa kuzaa misuli hairespond kwa hiyo hormone oxytocin. USHAURI KWENU MLIO NA MSIO NA WA KUWADEKEA MJITAHIDI KUFANYA MAZOEZI ILI MZAE VIZURI

the boss, wanawake wangapi wa kitz wanaweza kuwa na vitu hivi? by the way, umri wa kuzaa unakuta ndo kwanza watu wamepata vibarua na wanajaribu ku-settle. nyumba ya kupanga, maybe na kagari kama kapo ka mafuta ya mahesabu... few ndo wanakuwa na hizi bwanaa. na kudeka na uvivu ni tofauti jamani. hebu kwanza u plz rub my feet hun ...lol!

wanadeka mno siku hizi....

kufua mashine

kuosha vyombo mashine

kupika majjiko ya umeme

ma house girl wawili still....

tena mazoezi ya kutembea ndo bonge la kudekea. lol,ushaskia evening walk? hapo hata small house italia doo,manake ukitoka job shurti uwahi home kwa ajili ya mazoezi! na kufua na mashine as compared na kufua kwa beseni kipi ni zoezi la kutembea?
Mimi nafikiri mazoezi ni kitu cha muhimu ili kuruhusu misuli yote inayohusika na kuzaa iweze kurespong fresh wakati wakati mwanamke anapush .Sasa kama mwanamke hataki hata kutembea tembea kila kitu mashine ikifika wakati wa kuzaa misuli hairespond kwa hiyo hormone oxytocin. USHAURI KWENU MLIO NA MSIO NA WA KUWADEKEA MJITAHIDI KUFANYA MAZOEZI ILI MZAE VIZURI

Siyo kudeka ni wavivu tena ni wavivu sana tu, anaweza hata kushindwa kufua nguo zake za ndani.

Jamani tuacheni tudeke yupo wakutedekeza,na laitani mimba ingekua inajaribiwa basi ningeomba ujaribu uone dhiki zake,usingesema tunadeka ivi kwanza una mke?

Ndo natafuta humu jamvini. Kama upo tayari nicheki faragha.

Back
Top Bottom