Wanawake wa sikuhizi nani amewaroga?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeongea kwa hisia kweli, ila tafakari zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚shogaa sawa we unataka ndoa
Vigezo na mashart kuzingatiwa siunajua tena wanataka kuona chura ndani ya dera
 
Uko sahihi kabisa mwenza, ila kumbuka hapa tunaongelea mume na sio wanaume wengine kama baba, mjomba n.k na hao waliotoboa kwa sababu ya waume zao ndio wale waliobahatika kuolewa na wanaume waelewa japo tabu iko palepale mwanamke akishaolewa majukumu yanadouble kama sio kutriple hivyo nafasi ya kutimiza ndoto binafsi bado inakuwa finyu. Kuhusu hao waliokuwa impacted negatively hao wapo ila inahitaji mtu mwenye strong will kitu ambacho si wote tumejaaliwa, si kila mtu ana uwezo wa kutoboa anapokutana na upinzani mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ukiolewa uwezekano wa kutoboa sana ni mdogo unless umpate mume muelewa sanaaa, sio hawa wetu ambao ukimzidi elfu5 tu tayari umetangaza vita.

Lakini pia unajua mafanikio ya mwanamke tangu anapokuwa mdogo ni ndoa. Ndio maana mara nyingi kukuta mwanamke anafanya maendeleo binafsi akiwa hayupo kwenye ndoa ni nadra sana.

Kuna yule anayeona sio jukumu lake ataolewa na mwanaume mwenye pesa then atapata maendeleo.
Wa pili ni yule anayeona akifanikiwa sana atakosa wa kumuoa as wanaume watamuogopa. Kwakuwa akili zetu ziko centred kwenye ndoa ndio maana wanaume wanajiona miungu watu juu yetu.

Hapa mie naona mtoa mada anatishwa na maendeleo ya wanawake as anatambua tukitusua basi ile dhana ya wao kututawala itadidimia mwisho kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimsemee kila mtu. Mimi na wewe twaweza kuwa tunaitaka ila si sahihi kusema kila mtu anataka na akisema hataki eti ni mnafiki. Fikiria mara mbili kama espy alivyokuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapokua huwa wanawake tunatamani na kuitaka ndoa sana hii ni nature. Kadri unavyokuwa changamoto za maisha na misukosuko mingine na kuongezeka kwa ufahamu wa mambo mwisho wa siku unaona huo upande sio wako.

Hii sio kwa wanawake tu hata wanaume maana hata mapunga wanatamani ndoa. Hizi kauli zao nyingi za "sitaki kuoa", "sijui kama nitaoa" zimebeba historia ndani yake na si kwamba tangu wanazaliwa walikuwa na mawazo hayo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo sio vizuri kumsemea kila mtu huwezi kujua mtu amekutana na nini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah kumbe unataman ndoa kisa hako kamchezo ka kuamshana. Ila mbaya ukishaolewa utaanza kujifanya umechoka kilasaa. Hapo ndio tabu yenyewe inapoanzaga!
 
Hahahah kumbe unataman ndoa kisa hako kamchezo ka kuamshana. Ila mbaya ukishaolewa utaanza kujifanya umechoka kilasaa. Hapo ndio tabu yenyewe inapoanzaga!
Kwakweli hahahahaahahahhahaha [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sitakufinya bebi, utafanya mambo yote upendayo ila ukileta ujinga tu unakula ban takatifu. Hata getini utakuwa hutoki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ