Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke gani huyo hataki ndoa???? Hiiiiii jamani Mimi ndoa naitaka tena mnooooo hivi kuna raha nyingine tofauti na ndoa??? Msiiiew ukiona mtu anasema hataki ndoa mnafiki huyooo mwongoo eti hataki kua chini ya mwanaume pyeeeee ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kwa hisia kweli, ila tafakari zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app