Wanawake wa sikuhizi nani amewaroga?

Uliandika maisha ya uhuni yana muda wake kwahiyo uhuni wowote ule ambao umewahi kuufanya muda wake umeisha si ndiyo
Uhuni wowote Tu nataka kujua uhuni una muda wake muafaka katika maisha
Haahahhaahahah hebu ngoja kwanza nitajibu baadae naona sasa hivi nimebanwa na majukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitofautishe na watu wengine usinione nafanya porojo humu Mimi ni mtu ambae nimesoma dini vizuri itakua ngumu mno kwa mtu anayeamini kuleta mchecheto kwenye vitu vya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ni hivyo nakuombea, nimeoa na nina watoto 2, sijui huyu mtu wangu nimemkosa nini, nabaki kumwomba Mungu tu
 
hao ambao wapo single huenda ni kwa sababub tu marital status zao zinaonesha single but in reality wapo kwenye relationships na wanaume sahihi japo uhusiano unakuw bado haujawa official

kuhusu mwanamke kuzuiliwa kufanyakazi hii inategemeana na mtazamo wa mwanaume pia malezi au hulka ya mwanamke
kuna wanawake wanavipato vikubwa kuliko hata waume zao lakini ni wanyenyekevu na watii kwa waume zao na maisha yanaenda vizuri tu
ila kuna wale ambao akishatoboa maisha anamdharau mwanaume aliemsadia

Ndio maana ni mara chache mwanamke tajiri kuolewa na mwanaume maskini

lakini ni mara nyingi mwanaume tajiri kuoa mwanamke maskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa fundi baiskeli alimfungulia mkewe biashara ya mpunga
yule mwanamke akawa anatengeneza pesa ndefu kuzidi mume wake
mwanamke akakutana na wafanyabiashara wenye mitaji mikubwa wakampa kiburi akaanza kumdharau mumewe
alichokifanya jamaa akamuomba mke wake pesa zote za biashara na mpunga uliokuw umebak stock mashineni akaenda akauza kisirisiri pesa akachukua
alaf mwanamke akarudi tena kuwa mama wa nyumbani tu japo huyo mwanamke alikuw ameanza kugegedwa na wafanyabiashara wenzie .

ni wanawake wachache wanaoweza kupanda ngaz lakn wakaendelea kuwa na nidhamu kujishusha na kunyenyekea kwa waume zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…