Wanawake wa sikuhizi nani amewaroga?

Sipingani nawe mkuu, na hilo pia liko hata kwa wanaume. Kumaintain nidhamu akishazishika huwa ni ngumu sana.
 
Bora nikuoe mm Dada Katwe
 
Kuna kitu hujamuelewa maana yake ni hivi hata hao ambao wameamua kuwa single na kuishi maisha yao bado akili yao inawaza kudanga na kupata mwanaume ambaye atamuwezesha kifedha ili achanganye na mshahara wake ajenge nyumba yake au alipe Kodi yaani Ni nadra kukuta mwanamke ameamua kujitegemea mwenyewe bila kutega mume wa mtu au buzi...

Kuhusu mfumo wa ndoa nakubali mwanaume ndo kichwa hivo kuolewa tyr inaweza kuwa changamoto km umekosa mtu muelewa au Kama pesa inakupa kiburi...

Wanawake mna force sana ndoa hasa kwa watu wasiowapenda sikuhizi tena mnajikuta nyie ndo mnajukumu la kupenda kuliko sisi hahahahaha tunawachora tu..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo naona mmekubali tu [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto zako binafsi zipiiiiii mama Kama sio ubinafsi Huo yaani kwa mfano mumewe akuoe halafu awe na ndoto zake binafsi kweli jamani ndo tunaishi hivo???

Watu Wana join forces kutengeneza future ya pamoja unapoolewa ujue unaenda kushirikiana na mumewe kufanya mambo makubwa yenye manufaa pamoja sasa mambo ya ndoto zako binafsi Tena!!!!!!!!

Team working jamani tunaoa kupata msadizi sio sababu ya papachu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap!kinachofanya mtu aonekane amekua sio tu idadi ya miaka aliyonayo bali ni badiliko la fikra na mitazamo ya maisha katika uhalisia
hata maandiko ya biblia yako wazi kabisa kila jambo lina wakati wake
kuna wakati vitu fulani fulani inabidi tuvitupe kule na ku focus future zaidi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wanaume nao huwa wanamafanikio yao binafsi yasiyo na tija kwa wake na familia zao....?!

Kweli nimeamini, wanawake ni wabinafsi na mnauchoyo wa ajabu sijawahi kuona......

Ila no problem......lets wait and see, hii life style mnayoichochea one day mntakuja elewa waliosema wanawake watiini waume zenu na wanaume wapendeni wake zenu.. ....

Ipo siku...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuhoji tena! Hivi unaposema dreams/ndoto binafsi, una maanisha nini?! Je, wanaume wana ndoto /dreams binafsi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry, nina swali kwako?!

(a) Wewe ni muumini wa imani gani?!

(b)Kutokana jibu katika swali (a) hapo juu, je, wewe kama muumini, una maagano gani na MUNGU juu ya maisha yako hapa duniani?! Je agano lako kuu na yeye ni kuja kutafuta pesa ama ni vipi?!

(c) Ndoa ina uzito gani katika maisha yako, au una una ufahamu upi juu ya taasisi ndoa na misingi/nguzo yake/zake mikuu/kuu?!

(d)Familia yako inachukuliaje taasisi ndoa, je, ni jambo la lazima, hiyari, bahati mbaya?!

(e)Unaishi na wazazi waliopo katika ndoa rasmi au ni binti umekulelewa na mzazi m'moja, mtoto wa nje ya ndoa, zao la familia yenye mifarakano( broken family) au ni vipi?!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefafanua vizuri sana mkuu,,chanzo cha ubinafsi ni dhambi na kwa bahati mbaya sana wanadamu tulianza kuwa wabinafsi tu baada ya kupungukiwa na utukufu wa Mungu
Ndoa nyingi sana leo hii ambazo mwanaume au mwanamke akiwa ni mbinafsi zinateseka sana na wakati mwingine zinafikia hatua ya kutalakia.

Mungu alibuni ndoa ili mume na mke washiriki hisia zao za mapenzi kwa furaha si watu wawili bali kitu kimoja(mwili mmoja)

Ndio maana kuna kuoana hii ina maana kwamba suala la kuoa ama kuolewa si la mtu mmoja tu bali linashihusisha mwanaume na mwanamke walioridhiana kujenga familia pamoja
kwahiyo wanakuwa kitu kimoja kiroho, matumaini,ndoto na malengo(Team)

Tunaposhiriki kama Team katika ndoa kila mmoja anakuw tayari kujitoa kwa mwenzake,,
kila mmoja ktk mahusiano anakuw yuko tayari kuwa sehemu ya changamoto yoyote anayopitia mwenzi wake na hapa ndipo upendo wa dhati huanza kuonekana




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…