Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipingani nawe mkuu, na hilo pia liko hata kwa wanaume. Kumaintain nidhamu akishazishika huwa ni ngumu sana.Kuna jamaa fundi baiskeli alimfungulia mkewe biashara ya mpunga
yule mwanamke akawa anatengeneza pesa ndefu kuzidi mume wake
mwanamke akakutana na wafanyabiashara wenye mitaji mikubwa wakampa kiburi akaanza kumdharau mumewe
alichokifanya jamaa akamuomba mke wake pesa zote za biashara na mpunga uliokuw umebak stock mashineni akaenda akauza kisirisiri pesa akachukua
alaf mwanamke akarudi tena kuwa mama wa nyumbani tu japo huyo mwanamke alikuw ameanza kugegedwa na wafanyabiashara wenzie .
ni wanawake wachache wanaoweza kupanda ngaz lakn wakaendelea kuwa na nidhamu kujishusha na kunyenyekea kwa waume zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukimpata usinisahau kwenye ubwabwa.
@behaviourist njoo hapa.Sio kweli Mkuu chura hakiwezi kuwa kigezo kikuu bhana
Ndio hivyo,,Mungu atusaidie sana kwakweli.Sipingani nawe mkuu, na hilo pia liko hata kwa wanaume. Kumaintain nidhamu akishazishika huwa ni ngumu sana.
Bora nikuoe mm Dada KatweUmesema mwanaume ana mchango mkubwa kwenye maendeleo ya mwanamke?? Si kweli, kwa hilo umepuyanga. Kama unazungumzia maendeleo ya familia sawa lakini kama unaongelea maendeleo binafsi ya mwanamke si kweli, mwanamke akishaingia kwenye himaya ya mwanaume anakuwa si huru tena na kama amepata mwanaume ambae si mwelewa uchumi wake utakuwa umeishia hapo, career yake anaizika hapo na kila kitu kinachomhusu yeye binafsi anasahau anabaki kuwa msikilizaji mtulivu. Wanawake wengi waliofanikiwa ni wale walioko singo au walioolewa na wanaume waelewa wasiofinya uhuru wa wenza wao(ila wanaume wa hivi wako wachacheee)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu hujamuelewa maana yake ni hivi hata hao ambao wameamua kuwa single na kuishi maisha yao bado akili yao inawaza kudanga na kupata mwanaume ambaye atamuwezesha kifedha ili achanganye na mshahara wake ajenge nyumba yake au alipe Kodi yaani Ni nadra kukuta mwanamke ameamua kujitegemea mwenyewe bila kutega mume wa mtu au buzi...Umesema mwanaume ana mchango mkubwa kwenye maendeleo ya mwanamke?? Si kweli, kwa hilo umepuyanga. Kama unazungumzia maendeleo ya familia sawa lakini kama unaongelea maendeleo binafsi ya mwanamke si kweli, mwanamke akishaingia kwenye himaya ya mwanaume anakuwa si huru tena na kama amepata mwanaume ambae si mwelewa uchumi wake utakuwa umeishia hapo, career yake anaizika hapo na kila kitu kinachomhusu yeye binafsi anasahau anabaki kuwa msikilizaji mtulivu. Wanawake wengi waliofanikiwa ni wale walioko singo au walioolewa na wanaume waelewa wasiofinya uhuru wa wenza wao(ila wanaume wa hivi wako wachacheee)
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo naona mmekubali tu [emoji16][emoji16][emoji16]Binadamu tunategemeana sana kama ambavyo tuna mchango kwao basi nao wana mchango kwetu. Mchango waweza kuwa hali au mali na kwa kiasi kikubwa pande zote mbili wanachangia sana kwenye maendeleo yetu ni vile tu tunakuwaga wabishi kulikubali hili.
Wanawake wengi wenye mafanikio ukiangalia historia iliyo nyuma yao huwa kuna nguvu ya mwanaume either posively au negatively na kumbuka mwanaume huyo aweza kuwa ni baba yake pia.
Negatively ni ile umekunyanyasa ukaamka ukaamua kupambana hadi ukatoboa, positively ni ile amekutia moyo akaongezea na pesa then ukapambana ukapasua. Upande wa kutupa sapoti kifedha wanaume wako vizuri, ni watoaji wazuri tu ukiachilia wale wenye roho za kimasikini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto zako binafsi zipiiiiii mama Kama sio ubinafsi Huo yaani kwa mfano mumewe akuoe halafu awe na ndoto zake binafsi kweli jamani ndo tunaishi hivo???Uko sahihi kabisa mwenza, ila kumbuka hapa tunaongelea mume na sio wanaume wengine kama baba, mjomba n.k na hao waliotoboa kwa sababu ya waume zao ndio wale waliobahatika kuolewa na wanaume waelewa japo tabu iko palepale mwanamke akishaolewa majukumu yanadouble kama sio kutriple hivyo nafasi ya kutimiza ndoto binafsi bado inakuwa finyu. Kuhusu hao waliokuwa impacted negatively hao wapo ila inahitaji mtu mwenye strong will kitu ambacho si wote tumejaaliwa, si kila mtu ana uwezo wa kutoboa anapokutana na upinzani mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap!kinachofanya mtu aonekane amekua sio tu idadi ya miaka aliyonayo bali ni badiliko la fikra na mitazamo ya maisha katika uhalisiaMaisha ya uhuni yana muda wake .....na inafikia stage inabidi yaachwe......binafsi ni mtu ambae kitabu cha imani yangu ya dini hakipo mbali so karibia kila siku nakisoma ....ninachojua Mimi uzinzi dhambi na chukizo mbele ya muumba ......so siwezi kuwa nafanya uchafu tuuuuu siku zote za maisha yangu kwa kweli hilo hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wanaume nao huwa wanamafanikio yao binafsi yasiyo na tija kwa wake na familia zao....?!Umesema mwanaume ana mchango mkubwa kwenye maendeleo ya mwanamke?? Si kweli, kwa hilo umepuyanga. Kama unazungumzia maendeleo ya familia sawa lakini kama unaongelea maendeleo binafsi ya mwanamke si kweli, mwanamke akishaingia kwenye himaya ya mwanaume anakuwa si huru tena na kama amepata mwanaume ambae si mwelewa uchumi wake utakuwa umeishia hapo, career yake anaizika hapo na kila kitu kinachomhusu yeye binafsi anasahau anabaki kuwa msikilizaji mtulivu. Wanawake wengi waliofanikiwa ni wale walioko singo au walioolewa na wanaume waelewa wasiofinya uhuru wa wenza wao(ila wanaume wa hivi wako wachacheee)
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuhoji tena! Hivi unaposema dreams/ndoto binafsi, una maanisha nini?! Je, wanaume wana ndoto /dreams binafsi?!Uko sahihi kabisa mwenza, ila kumbuka hapa tunaongelea mume na sio wanaume wengine kama baba, mjomba n.k na hao waliotoboa kwa sababu ya waume zao ndio wale waliobahatika kuolewa na wanaume waelewa japo tabu iko palepale mwanamke akishaolewa majukumu yanadouble kama sio kutriple hivyo nafasi ya kutimiza ndoto binafsi bado inakuwa finyu. Kuhusu hao waliokuwa impacted negatively hao wapo ila inahitaji mtu mwenye strong will kitu ambacho si wote tumejaaliwa, si kila mtu ana uwezo wa kutoboa anapokutana na upinzani mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry, nina swali kwako?!Ni kweli ukiolewa uwezekano wa kutoboa sana ni mdogo unless umpate mume muelewa sanaaa, sio hawa wetu ambao ukimzidi elfu5 tu tayari umetangaza vita.
Lakini pia unajua mafanikio ya mwanamke tangu anapokuwa mdogo ni ndoa. Ndio maana mara nyingi kukuta mwanamke anafanya maendeleo binafsi akiwa hayupo kwenye ndoa ni nadra sana.
Kuna yule anayeona sio jukumu lake ataolewa na mwanaume mwenye pesa then atapata maendeleo.
Wa pili ni yule anayeona akifanikiwa sana atakosa wa kumuoa as wanaume watamuogopa. Kwakuwa akili zetu ziko centred kwenye ndoa ndio maana wanaume wanajiona miungu watu juu yetu.
Hapa mie naona mtoa mada anatishwa na maendeleo ya wanawake as anatambua tukitusua basi ile dhana ya wao kututawala itadidimia mwisho kufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefafanua vizuri sana mkuu,,chanzo cha ubinafsi ni dhambi na kwa bahati mbaya sana wanadamu tulianza kuwa wabinafsi tu baada ya kupungukiwa na utukufu wa MunguNdoto zako binafsi zipiiiiii mama Kama sio ubinafsi Huo yaani kwa mfano mumewe akuoe halafu awe na ndoto zake binafsi kweli jamani ndo tunaishi hivo???
Watu Wana join forces kutengeneza future ya pamoja unapoolewa ujue unaenda kushirikiana na mumewe kufanya mambo makubwa yenye manufaa pamoja sasa mambo ya ndoto zako binafsi Tena!!!!!!!!
Team working jamani tunaoa kupata msadizi sio sababu ya papachu
Sent using Jamii Forums mobile app