Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote.

Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, atapanga vitu gheto vizuri, atakunyooshea nguo zote atapanga vizuri kabatini. Atatoka nje atafagia uwanja atapanga vitu vizuri mwishoni anakupa na mbususuu safi unakula. Jion ataondoka zake. Yaani ukirud home unakuta hewa safi mpaka unafurahi.

Sasahivi Demu akija gheto ukimwacha utakuta nyumba kama ilivyo yani hana habari, kuna chakula ndani badala apike atakutumia text eti njoo na chips kuku nasikia njaaa. Hapo hapo bado atakuletea shida zake lukuki mara hiki sijui nini. Ukirudi atakwambia twende kidimbwi mara samakisamaki aiseee hatari sana. Ataposti mali zako aonekane anakaa sehemu nzuri mara snapchat huku whatsapp.

Ndugu zangu wanaume ukiona dem anashindwa jiongeza hakuna mke hapo we chapa potea ukijichanganya utakuja kulia. Short advise.
 
Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote.

Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, at
100% i gree with you, inashangaza mnoo mnoo mwanamke anakuja kwako ,hata kujiongeza vitu km usafi, kupika hamna yeye akiliwa anatak umpe hela aondoke na bado shida zaks anataka umtatulie ...kwel kabisa ukiwa na aina hii ya mwanamke hafai kua mke atakutesa mbeleni
 
Back
Top Bottom