Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Siyo lazima umpikie boyfriend ila ni lazima kumpikia mume wa ndoa.
Siwezioa Dem ambae hajawai nipikia chakula last year nilikuaga na rafiki yangu aliniomba getto aje na Dem wake walipofika Dem akaniuliza Shem gesi ipo kwel nikasema ndio Dem akaanza andaa madiko diko huku nikiwa namshikaji tunapiga story mbili tatu Dem anauliza mbona mafuta yakula Amna muuni nikatoa buku nikampa

Dem akaona katoto kajirani kanacheza cheza akaniuliza Shem aka katoto kanaitwa kanani nikamwambia teddy akakaita Kaka fata mafuta dukan Shem akamaliza kupika tukala nikahmua kuchomoka zangu nikawahcha wakafany yao .. ad walivyo maliza ..

In short izi room rooting za maDem kushika ichi na ichi ndani huongeza interesting Sana zakimapenzi sema madem wengi awajui .. Yan utakuta Dem wako kama kamalaya flan ivi kenyewe Ni sex tu nakuomba Ela

Yule Dem wamshkaji alinipa deferent taste ya mapenzi aisee I felt like I got the real family beside me .

Videmu vyangu vikija geto hata avijali niku sex tu nakuomba Ela ndomana wanaume wengi huisi upweke licha yakua na mpenzi ..
 
Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote.

Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, atapanga vitu gheto vizuri, atakunyooshea nguo zote atapanga vizuri kabatini. Atatoka nje atafagia uwanja atapanga vitu vizuri mwishoni anakupa na
Aina hiyo ya wanawake hawatakiwi kufika ghetto, mambo yaishie lodge
 
Siwezioa Dem ambae hajawai nipikia chakula last year nilikuaga na rafiki yangu aliniomba getto aje na Dem wake walipofika Dem akaniuliza Shem gesi ipo kwel nikasema ndio Dem akaanza andaa madiko diko huku nikiwa namshikaji tunapiga story mbili tatu Dem anauliza mbona mafuta yakula Amna muuni nikatoa buku nikampa

Inatia sana hamasa
 
Back
Top Bottom