Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Mimi wanaume wa kizazi hiki siwaelewi, wao mtu akimfulia nguo, kumpikia ndio wanaona ni upendo, hata kwenye ndoa nyingi zenye mgogoro ,mume katembea na housegirl, ni housegirl kufua,kupika, ndio sababu ya ndoa kuvunjika, huu ni ujinga hata maroboti yanaweza kufanya hivi..LOL...mnashangaza labda nyie ni version nyingine ya wanaume?!?,maanake wanaume wengine wanaangalia physical attraction and Chemistry nyie kupika, kufua daaah...