Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Tena yule dada baada ya huduma akaamua kutoa shuka n kutandika lingine kutokana n muda akashindwa kufua bado ni mmbaya tu huyo mtu wanaume mnaboa sanaaaa
Umeandika kwa hisia, pole sana dada ila endelea tu kutandika kitanda kila mkimaliza ka hakupi hela[emoji846]
 
MUACHE UCHAFU NYIE WANAUME........

UNARUNDIKA UCHAFU ILI MFANYIWE USAFI??????


MWANAUME ANAYESUBIRIA MSIVHANA WAJE AMFANYIE USAFI NI MCHAFU...MCHAFU....MCHAFU!!!!!!

ANYWAY...


Kaja kukufanyia usafi au kafata dudu???

Uchafu ndo asili ya mwanaume,
 
Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote.

Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, atapanga vitu gheto vizuri, atakunyooshea nguo zote atapanga vizuri kabatini. Atatoka nje atafagia uwanja atapanga vitu vizuri mwishoni anakupa na
Hahahaa daah, ilikuwa mwaka gani huo mkuu.
 
Pale mimi ni nyumbani ukiwauliza wale wahudumu wote wananijua kwa jina la MJUBA wanazijua show zangu
Chinekeeeeeeeeeeee..... Haya bhn ukija niulizieeee nije nikufanyieee usafi kwakoooo
 
Back
Top Bottom