Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Tunashukuru ile kampeini imefanya kazi vizuri
Sheria ni ile ile usifue,usipike,fata kilichokupeleka
 
Kila.mbuzi atakula kulingana na urefu wa kamba yake

[emoji38][emoji38][emoji38] Binti wa watu una mpa tu vipesa vichache chache ulafu unategemea return kubwaaa?

Waambie halaf anaoa mwingine ambae hajawah mfanyia usafi kisa ana chura kubwa [emoji23][emoji23]
 
We nae hela hela , Unahongaga shingapi?

Wanaohonga magari, majumba,viwanja wametulia tuli.
Punguzo jazba, wewe ukiwa na tshs million 500 unaweza kumnunulia gari au kiwanja mume wako

Kwa taarifa yako wadada ninao date nao wanataka dushe Langu na muda wangu tu.. hivyo sitoagi hela ili nipate mwanamke suzie _barbie
 
Bado tu uko na hii version mkuu tume upload version mpya inaitwa HIT AND RUN 22
 
Je mfano ww mwanaume umemuomba girlfriend wako aje akutembelee ajue unapoishi for the 1st tym then baada ya kufika ukampokea kwa mwashtete zotee mkaingia ndani ukaagiza chakula mkala pengine mkajiongeza mkafanya mlichofanya baadae yule dada anaamua kutaka kurud kwao then ukamuaga tena kwa hug tuu bila hata nauli ya kumvutia next aje unadhani ni haki hiyo au nisawa kweli ajitegemee yy kila kitu??
 
Tena yule dada baada ya huduma akaamua kutoa shuka n kutandika lingine kutokana n muda akashindwa kufua bado ni mmbaya tu huyo mtu wanaume mnaboa sanaaaa
 
Back
Top Bottom