Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Kama unataka wa kusafisha geto inabidi uoe sio binti wa watu katoka kwao kafanya mikazi kibao na aje kwako pia afanye na hizo ngono zenu[emoji57][emoji57]mfanye [emoji849]baba unapajua leba?
Mkiamua kuwa wapenzi (I mean wapenzi wa kweli). Suala la kusafisha nyumba ni la kufanya out of luv sio kama adhabu au kazi. Ni bahati mbaya mahusiano mengi yanabakia kuwa sex partnership.
 
Desperate for marriage mnakuwaga nayo mkifikisha 30+
After all kuwa desperate kwa ndoa sio ulemavu if at all ni Kitu unawish kuwanacho na hakijaja kwa muda mwafaka. And if you are not desperate why should you be ashamed of it on the first place.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkitaka wa kuwafanyia kila kitu oeni acheni maneno mengi
Vitu havitokei tu. kuoa kunahitaji muda na maandaalizi. Hoja yangu ni kuhudumiana/kutendeana kwa wingi. Kuna shida gani kufanya usafi,n.k kwa mtu aunayempenda I mean prospective husband. And If at all mtu uko willing to offer your body for sex ambacho ni kitu kikubwa zaidi compared to vitu kidogo kama kusafisha nyumba, kupika, n.k.
 
Mmmmmh [emoji849][emoji849][emoji849] na kuna mtu mwingine ukishaanza kumfanyia hivyo ndio anajisahau kabisaaa kama hajaoa
 
Wanaume wajinga sana ufanyiwe usafi ukiwa nani, wewe huna mikono au ni mlemavu, ka huwezi kufanya usafi unapoishi bado hujakuwa tayari kuwa baba wa familia, mke au mpenzi sio mfanyakazi wako loh

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
MUACHE UCHAFU NYIE WANAUME........

UNARUNDIKA UCHAFU ILI MFANYIWE USAFI??????

MWANAUME ANAYESUBIRIA MSIVHANA WAJE AMFANYIE USAFI NI MCHAFU...MCHAFU....MCHAFU!!!!!!

ANYWAY...

Kaja kukufanyia usafi au kafata dudu???
 
After all kuwa desperate kwa ndoa sio ulemavu if at all ni Kitu unawish kuwanacho na hakijaja kwa muda mwafaka. And if you are not desperate why should you be ashamed of it on the first place.
Na wewe uko desperate na ndoa kama mleta mada? Umefikisha 30+ na hujaolewa? Tafadhal wahi kanisani kwa nabii uombewe utapata mume
 
Back
Top Bottom