Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Kila.mbuzi atakula kulingana na urefu wa kamba yake

[emoji38][emoji38][emoji38] Binti wa watu una mpa tu vipesa vichache chache ulafu unategemea return kubwaaa ?
Mkuu hawa hawana formula ,ni kuishi nao kimkakati tuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama unataka wa kusafisha geto inabidi uoe sio binti wa watu katoka kwao kafanya mikazi kibao na aje kwako pia afanye na hizo ngono zenu[emoji57][emoji57]mfanye [emoji849]baba unapajua leba?
 
Mi nikija kwako ni mwendo wa mahaba tu kama huwezi kupika nunua leta tule!!!

Habari za kufika niaze kufua,kuosha vyombo,sio kazi yangu,mara moja moja nitakusaidia kukupangia nyumba!!!

Usafi utafanya mwenyewe!!!
 
100% i gree with you ,inashangaza mnoo mnoo mwanamke anakuja kwako ,hata kujiongeza vitu km usafi, kupika hamna yeye akiliwa anatak umpe hela aondoke na bado shida zaks anataka umtatulie ...kwel kabisa ukiwa na aina hii ya mwanamke hafai kua mke atakutesa mbeleni

NAKUBALI
 
Ukirudi chumba kama kilikua kidogo u adhangaa ki.aekua kikubwa maana vitu vimepangwa mpaka nafasi ikapatikana....na pananukia hatari mpaka unasema.mke si huyu....

Sasa hawapo tena

Walikufa na corona sijui[emoji28]
 
Mi nikija kwako ni mwendo wa mahaba tu kama huwezi kupika nunua leta tule!!!

Habari za kufika niaze kufua,kuosha vyombo,sio kazi yangu,mara moja moja nitakusaidia kukupangia nyumba!!!

Usafi utafanya mwenyewe!!!

Khaaa[emoji24]
 
Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote.

Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, atapanga vitu gheto vizuri, atakunyooshea nguo zote atapanga vizuri kabatini. Atatoka nje atafagia uwanja atapanga vitu vizuri mwishoni anakupa na mbususuu safi unakula. Jion ataondoka zake. Yaani ukirud home unakuta hewa safi mpaka unafurahi.

Wamestukia sisi sio wahoaji ni kupiga na kuingia mitini
 
Back
Top Bottom