Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

Tena yule dada baada ya huduma akaamua kutoa shuka n kutandika lingine kutokana n muda akashindwa kufua bado ni mmbaya tu huyo mtu wanaume mnaboa sanaaaa
Nyie c mnawaza hela tuu, ...afu majukumu yetu hamyawezi
 
Wanaume wajinga sana ufanyiwe usafi ukiwa nani, wewe huna mikono au ni mlemavu, ka huwezi kufanya usafi unapoishi bado hujakuwa tayari kuwa baba wa familia, mke au mpenzi sio mfanyakazi wako loh

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Kuwa omba omba ndo mnachoweza
 
Tunatafuta pesa tununue mali zetu mzi post Instagram, WhatsApp na Snapchat muonekane mnakaa mahali pazuri. Tumeelewana?
Usinifokee mkuu😂 hata sisi magheto yetu ya samani nzuri tu, haina haja ya kuja kupigia picha kwenu🤪
 
Aice, cdhani kama mabint wote ni wadizain hiyo uloitaja..pengine inategemea umekutana nae club au bar utegemee aendane na hizo itkadi ulizo ainisha hapo juu, hatoweza utakuwa unampatia majukumu ya mke wakat yeye ni wa usiku mmoja.

#We mtolee posa upate hizo huduma kama hujatoa basi usimchoshe mke mtarajiwa wa mwenzio ambae wewe humjui.
 
Kinachotuumiza zaidi kwanini mki post mali zetu mnajifanya ni zenu? Muwe mna acknowledge basi uki post mali zangu unasindikiza na caption inasema 'thank you Sarri' you're so amazing Sarri'. Ama nini [emoji23][emoji23][emoji23]

HAKIKA
 
Well said I appreciate you
 
Kinachotuumiza zaidi kwanini mki post mali zetu mnajifanya ni zenu? Muwe mna acknowledge basi uki post mali zangu unasindikiza na caption inasema 'thank you Sarri' you're so amazing Sarri'. Ama nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Sheria zetu hakuna kutaja mtu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom