Wanawake wajibikeni kwa jamaa zenu, hakuna tatizo la nguvu za kiume

Wanawake wajibikeni kwa jamaa zenu, hakuna tatizo la nguvu za kiume

Sio kitandani tu hata kwenye maandalizi ya msosi, kila siku ukirudi home unakutana na Wali au ma Fast Foods.. Ma uzungu uzungu mengiiiii...

Asubuhi chai n yale yale chai ni masoseji,miyai kisasa,nk mimi nakulaga huku nikipga madongo kimya kimya..

Sitaki kulaumiwa nikienda ki 1, wala staki ambiwa fyeke fyeke... Alikua haelewi ila naona leo imedraftiwa ratba ya misosi wiki nzima kama tuko kijijini yani...

List imejazana magimbi! karanga! Matunda! Mihogo Mchemsho! nk kimoyo moyo nikajisemea DONGO limemfikia kumbeeee
 
Back
Top Bottom