mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kama uliwahisikia yale maandiko yanayosema "Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti." Hii nayo ni maana yake sasa👇
Yaani mwanaume unaacha mkeo nyumbani unaamua kuchepuka.. Kule unakochepukia unashindwa kuulipa mchepuko malipo yake, unapigwa na mchepuko, marafiki wa mchepuko nao wanakupiga, unakatwa uume, unatibiwa kisha unawekwa ndani kwa kosa la kudaiwa malipo ya uzinzi......
Uukitoka huko ndani/ police unakuta mchepuko na team yake wamewalipa wanaume wenzio wakupige tena🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Muwe na sabasaba njema yenye furaha, utulivu na amani