Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Ngoja jamaa aoe mke wa tatu😁maji lazima aite wateriUshiriano katika hali yoyote na popote. Wenye wanawake wawili halali kwenye ndoa wanaelewa wakipendana kwa dhati nini kinatokeaga😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja jamaa aoe mke wa tatu😁maji lazima aite wateriUshiriano katika hali yoyote na popote. Wenye wanawake wawili halali kwenye ndoa wanaelewa wakipendana kwa dhati nini kinatokeaga😆😆
Kuchepuka lupo sana tu sijakataa. Lakini mwanaume mwerevu huangalia mwanamke wa kuchepuka naye. Kwa mfano namna navyokusoma hapa, wewe unafaa kabisa kuwa mchepuko wangu (Baba D hatajua, usiogope)Sure, Ila wanaume hamtabiriki!! Ikifikia mnataka kuchepuka hata mpate mke kama huyu MKE WA KITANZANIA hapa bado mnachepuka tuu
View attachment 1844130
Ila wanawake wa KE inaonekana ni watata sanaSure, Ila wanaume hamtabiriki!! Ikifikia mnataka kuchepuka hata mpate mke kama huyu MKE WA KITANZANIA hapa bado mnachepuka tuu
View attachment 1844130
Si umeona sasa? Hata wewe unaona aibu kucharanga kikojoleo cha watu ukigeuze soseji... kwa maana nyingine ushapingana na huo uharamia wa makabaha mabandiduMuone🙄🙄🙄🙄
Si umeona sasa? Hata wewe unaona aibu kucharanga kikojoleo cha watu ukigeuze soseji... kwa maana nyingine ushapingana na huo uharamia wa makabaha mabandidu
Tutafute pesa kwenye papuchi? Kwani hiyo njemba si ndo ilikuwa imeenda kutumia pesa iliyoihangaikia kwa jasho na damu?Hilo ni tendo la kikatili sana, kama tuu kumbaka mtu
Sasa nashangaa aliyefanyiwa ukatili ndio aliyeshtakiwa...... dah
Wanaume Tafuteni Pesa🙌🙌🙌🙌
Ila wanawake wa KE inaonekana ni watata sana
🤸♀️🤸♀️Kwema kabisa anko.Chakorii hapo juu... naona unanigongea like kisirisiri... kwema?
Basi sawa anko...🤸♀️🤸♀️Kwema kabisa anko.
Unajua Haya maswala ya kuchepuka au kutochepuka hupangi kuwa lazima ufanye..ila inatokea sababu inaweza kuwa mume,mke au mazingira
Mapenzi yanamvurugo mzito sana
Endelea kula like anko.
Hebu jaribu kufuatilia movie zao hawatakagi masihara..mwanaume akimletea ujinga ni kelebu analambwa fasta😁
Endelea kumkazia anko
Dunia inaenda kasi Sana, anyway pole kwa kutendwaKama uliwahisikia yale maandiko yanayosema "Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti." Hii nayo ni maana yake sasa[emoji116]
View attachment 1844110
Yaani mwanaume unaacha mkeo nyumbani unaamua kuchepuka.. Kule unakochepukia unashindwa kuulipa mchepuko malipo yake, unapigwa na mchepuko, marafiki wa mchepuko nao wanakupiga, unakatwa uume, unatibiwa kisha unawekwa ndani kwa kosa la kudaiwa malipo ya uzinzi......
Uukitoka huko ndani/ police unakuta mchepuko na team yake wamewalipa wanaume wenzio wakupige tena[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Muwe na sabasaba njema yenye furaha, utulivu na amani