Wanawake wakiamua kushirikiana kwa dhati wanaume mpo hatarini

Wanawake wakiamua kushirikiana kwa dhati wanaume mpo hatarini

Kenya Kenya Kenya aisee, hawa jamaa habari zao hazibagui wala hazichagui. Hapa bongo wasingeweza kuripoti kwa namna hiyo na kuichunguza ivo wangeishia tu kulihoji jeshi la polisi na kusema uchunguzi bado unaendelea.
Jamaa wana habari za kichunguzi sana.

Mleta mada sahau kuhusu wanawake kushirikiana kwenye mambo ya msingi, mnaoneana wivu sana na kuchukiana mno sijui kwanini. Ila kwenye hayo kukata uume na mengine kama hayo mnakuaga na umoja kwelikweli.
 
Kwenye kumtoa naniliu wamefanya ukatili kwa kweli
 
Back
Top Bottom