Mipngo yao sasa ndio wakaubaliane pia na matokea ya maaamuzi yaoWatu na mipango yaoooooooo.....
Sasa mbona mnaongelea 30+ as if ndiyo wamechoka kwa uzinzi na wote walioolewa mapema waliolewa mabikra?. Point yangu ilikuwa kwamba kuolewa mapema haimaanishi ya kwamba ndiyo una tabia njema na hujatumika sana. Na kuwa single at 30s hakumanaishi kwamba una tabia mbaya na umetumika sana as wengi mnavyojumuisha humu.Unajua tatizo lenu lipo sehemu moja....ishu sio idadi ya wanaume anao juggle kwa wakati mmoja ishu ni kwamba unagegedwa kabla ya ndoa.
Hukukutokugegedwa na wanaume wengi ni maamuzi yako wewe mwanamke lakini bado una kosa sifa za wife material as long as unagegedwa kabla ya ndoa.
Same applies kwa mwanaume. Mzabzab nagegeda wanawake labd arobani kwa mwaka mwengine anagegeda mmoja huyo huyo mwaka mzima. Hapa sie wote ni wazinzi tuuna hatuna sifa za kuwa husband material
sio kweli...hata awe tajiri vipi mwanamke anahitaji mwanaume wake ..soma Psychology vizuri ..Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Nlitaka nkwambie karibu JF ila kuangalia umejiunga lini nkaona ni way back b4 I did.Maendeleo ya mtu yanakuwa defined na jamii husika
Mf.ukiwa kwenye jamii ya wamasai utajiri au mafanikio ni kuwa na ngβombe wengi
So umasaini utajiona umetimiza life goals ukiwa umepata ngβombe wengi
Ukiwa mjini mafanikio ni kuwa na nyumba,gari ,biashara kazi
Kwahyo ili uweze kuishi comfortable na kwa amani kwenye jamii fulani lazima uwe na mafanikio yanayoendana na jamii husika
Tunachokosea ni kutaka kuwa na maendeleo,mafanikio ambayo hayahusiani na jamii husika
Na kwa jamii ya kiafrika-Tanzania kuolewa au kuoa ni moja ya mafanikio muhimu kwahyo usipooa au kuuolewa licha ya kuwa na mali au vitu vingine bado jamii itakuona umepungukiwa kitu kikubwa
Kila mtu anataka kuheshimika na huwezi kuheshimiwa kama huna mafanikio kamq jamii inavyoona
Wanawake msitake kuishi kama mpo ulaya kwa kutojali jamii husika inahitaji nn
Kiafrika-Tanzania kuolewa ni moja ya mafanikio
Hamna mtu anayesema kwamba ukiolewa under 30 kuwa wewe ni bikra. Hapa probability ni kwamba the longer tit takes wewe kuolewa the greater the probability kuwa umeonja nyingi sanaSasa mbona mnaongelea 30+ as if ndiyo wamechoka kwa uzinzi na wote walioolewa mapema waliolewa mabikra?. Point yangu ilikuwa kwamba kuolewa mapema haimaanishi ya kwamba ndiyo una tabia njema na hujatumika sana. Na kuwa single at 30s hakumanaishi kwamba una tabia mbaya na umetumika sana as wengi mnavyojumuisha humu.
Njoo nkuoe mkuu
Huwa sichangii mada mara kwa maraNlitaka nkwambie karibu JF ila kuangalia umejiunga lini nkaona ni way back b4 I did.
You are The dr. Genius
Hahaha, mkuu hizi hesabu zako ni hatari sana.Tatizo bupa zao zinakuwa zimepigika sana. Pige hesabu on average anagegedwa na dyu dyu 3 kwa mwaka forom age 22 mpa hiyo 35 sii kashaonja migegedo 39
Shida kuu zaidi kwa Wanawake kitendo cha wao kuwa too much selective kina wakosesha Wanaume sahihi na badala yake wanaingia kwenye Wanaume wahuni wa mjini unakuta mwanamke unajua huyu mwanaume ni malaya kwasababu Eti ni tall, darkest na handsome basi na wewe unajipeleka kwa kuamini atabadilika ukishapigwa matukio na kuzalishwa na ukaachwa ndio akili inakuja ushauri wangu wapunguze kuwa selective Sana itawasaidia mbona kuna Wanaume wengi tu wanaojitambuaNn kifanyike ili wasifikie hatua hii ya kutia huruma,?
DuhUkiona mwanamke ana miaka 27 kachoka huyo ni wa kuonea huruma aisee, akifika 35 si atakuwa mzee. Ila wanawake wa Afrika tunajizeesha aisee, tunakula bila mpangilio, mazoezi ziro, vitambi, wowowo utaacha kuzeeka. Wengine tuko 42 lakini utajua bado wasichana. No tumbo, ziwa kama vile hujanyonyesha. Natural face , no artificial hair . Tunafanya kazi na wazungu, boss wetu yuko 65 lakini ukimuona tumbo flat na akivaa nguo utapenda. Kuja kwa wabongo sasa, yaani utadhani kila siku wajawazito loh.
Hahaha hizo ndio minimum mkuu....hali ni mbaya sana wazee...ndio maana watu wanatumia matango maana wanaona migegedo yetu ni vibamiaHahaha, mkuu hizi hesabu zako ni hatari sana.
Vitumbo kweli nakubaliana nawe ila kwenye wowowo hapana.Ukiona mwanamke ana miaka 27 kachoka huyo ni wa kuonea huruma aisee, akifika 35 si atakuwa mzee. Ila wanawake wa Afrika tunajizeesha aisee, tunakula bila mpangilio, mazoezi ziro, vitambi, wowowo utaacha kuzeeka. Wengine tuko 42 lakini utajua bado wasichana. No tumbo, ziwa kama vile hujanyonyesha. Natural face , no artificial hair . Tunafanya kazi na wazungu, boss wetu yuko 65 lakini ukimuona tumbo flat na akivaa nguo utapenda. Kuja kwa wabongo sasa, yaani utadhani kila siku wajawazito loh.
Nimekukubali chief. yale madini yanaweza temwa na mtu ambae yupo vizuri kichwani.Huwa sichangii mada mara kwa mara
Hata jf nlijiunga after 3yrs yakuperuzi
Toka 2013 sjaandika zaidi ya mara 200
ππ
Umeongea kwa hisia sana dada.Deby umeongea kitu kikubwa sana. Wengi wanaowangelea maex zao vibaya ni either bado wanawapenda au bado wapo bitter kwa sababu waliachwa. So kuona kwamba watu waliowaacha bado hawajaolewa; kunaupa raha uchungu uliopo moyoni wao. Shit happens kwenye mahusiano lakini tunasamehe na kusonga kwa amani. Tena kama uliachwa na leo upo mahali pazuri; ndiyo kwanza unashukuru uliachwa maana asingekuacha leo usingekuwa na mahusiano yako unayoyafurahia hivyo. Lakini inaonesha wengi hawana furaha na mahusiano yao, ndiyo maana kila siku kuchungulia na kuwatega maex zao; inawapa ahueni kuona mambo hayajawakalia vizuri.
Hata ulimwengu upinduke Leo; haitotokea kwamba wanawake wote waolewe below 30; Kila mtu ataolewa kwa wakati wake. Na haimaanishi aliyeolewa na miaka 23 ni msafi au hakuwahi kufanya makosa ndiyo maana akaolewa mapema; na hawa 30+ ambao hawajaolewa wote ni wachafu na walifanya makosa makubwa huko nyuma ndiyo maana hawajaolewa hadi leo. Au kwamba waliopo kwenye ndoa wana amani sana na mafanikio kuliko single. Ndiyo maana kuna divorces,separation kutoana roho kila siku kwa wanandoa; je kuolewa mapema ndiyo guarantee ya kuwa wife material na kudumu kwenye ndoa?
Binti wa kwanza kuolewa darasani kwetu (chuo) ni wale mabinti ambao kwa macho yetu ya kibanadamu; unasema hakuna mwanaume mwenye akili timamu atakayemuoa huyu. Anakwambia kabisa Mimi nikimaliza kulala na boyfriend wangu naingia kwenye wallet, nachomoa hela naondoka; sifanywi bure. Hapo ana wanaume zaidi ya watatu na anakwambia kabisa katika hawa wote lazima tu kuna mmoja atakuwa na wazo la ndoa so nitaolewa na huyohuyo; unlike nyie mnaodate mtu mmoja for years afu ukija kuachwa umri unakucheka. Na kweli hatujafanya hata graduation alikuwa ameshaolewa tayari. Je huyu ni mtakatifu na hajatumika kuliko mabinti wote 30+ singles?
Mwenyekiti wetu wa dini aliolewa akiwa na miaka 30 na akiwa virgin bado; je alikuwa na tatizo lolote au alichagua chagua sana umri ukaenda? So sio sawa kuconclude kwamba Kila aliye 30+ ni ana ana matatizo na ametumika kuliko wa 20s. Wapo wengi tu wanaojitunza miili yao, wanaamua kuendelea na mambo yanayoadd value kwenye maisha yao huku wakisubiri wakati na bahati zao; yes maisha lazima yaendelee, what if usipokuja kuolewa?. Kuolewa in your 20s sio kwamba ndiyo mtakatifu au unafaa sana kuliko wengine; ni vile tu wakati wako na bahati yako ilifika mapema kabla ya kwa mwenzio. Tupunguze kuwapa pressure hawa mabinti; hata sisi kuna vitu kibao hatuna na wenzetu walivipata mapema sana. Wakati na Bahati huwapata wote (Mhubiri 9:11). So Kila mtu ataolewa kwa wakati wake; na hata atakayeolewa akiwa na miaka 45 still hiyo ni achievement kwake sawa na ambaye tu alipata achievement yake akiwa 20s. Hakuna Mungu kati yetu; so tusiwekeane Timelines zetu za kibinadamu. Cha muhimu ni kuwasisitiza tu kwamba; wajitunze na waendelee kuserve purpose zao.
Fongoooka fongookaSekooooo ya leeoooo
Mbengoooo zememuonekaneea
Mama mochongaajiii
Hakeeekaa zetafoooongokaa
Usikariri mkuu, wengine wameolewa lakini wanachezea migegedo mipya kila kukichwa. Kinachotakiwa uwe umeolewa au hujaolewa ujiheshimu na uthamini mwili wako.Hamna mtu anayesema kwamba ukiolewa under 30 kuwa wewe ni bikra. Hapa probability ni kwamba the longer tit takes wewe kuolewa the greater the probability kuwa umeonja nyingi sana
Hii ya kulaaniana iko pande zoteKuna kuvumilia miaka mingi hiyo kwa sababu unaona kabisa kwa wakati huu Mimi na mwenzangu haitowezekana kufunga ndoa kwa sababu ya shule, mipango n.k.. Ila pia mtu akisema akuache akaolewe na mwingine mwenye utayari wa ndoa mnalaaani hao; na kuomba huko alikokwenda aachike. Siku ukisikia ex wako ndoa imemshinda unafanya sherehe as if una uhakika kuwa ungekuwa naye mngeishia ndoani. Hamna jema baadhi yenu na bila hata kujua kuwa sometimes likuepukalo lina kheri nawe.
Wakati na Bahati........Umeongea kwa hisia sana dada.
Kuna jambo ambalo haliko sawa katika mjadala huu, kila mmoja ametoa mtazamo tofauti au hata mtazamo wa jumla zaidi.
Yangu ni haya;
1. Nakataa kuwa mwanamke akivuka 30 hafai tena.
Wanaosema hivyo wengi wana mtazamo wa kingono zaidi ya mahusiano ya mke bora kwani ubora wa mtu sio miaka.
2. Sio sahihi kusema ati kila mwanamke unayemtaka akukubali...hii sio sawa kila mtu ana matarajio na matakwa binafsi ya mme amtakaye...hivyo mwanaume akikataliwa ni sahihi.
Kusema ati ana hali mbaya sababu alikukataa ni utoto na kisasi cha kijinga.
Mwanamke anatongozwa na wengi kila siku lkn bado naye ana haki amkubali nani na amkatae nani.
3. Mwanamke kufikia 30 hii haimanishi hafai...tena wanawake jinsi wanavyokua ndivyo baadhi yao wanakuwa bora...watulivu katika ndoa, washauri wazuri kwa wenza na umri huo unafaa sana kwa malezi ya watoto na mume.
4. Mwisho kabisa...kila mtu ana majira yake hivyo hawawezi kuolewa under 30 wote.
Watu tuna machungu jamani, Mungu atusaidie πππππHii ya kulaaniana iko pande zote