Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Kumbe...ila wanawake nanyi mnakuaga akili fyatu sana...sasa miaka minne wee u ageggedwagwa tuu🤣🤣🤣🤣 hustiki kuwa unahitaji kuolewa.

Mie mbona wangu alinipa ultimatum alivyoona mwaka na nusu hamna muelekeo wa mzabzab kuoa.....na kweli akaenda akolewa
Kuna kuvumilia miaka mingi hiyo kwa sababu unaona kabisa kwa wakati huu Mimi na mwenzangu haitowezekana kufunga ndoa kwa sababu ya shule, mipango n.k na unaona kabisa huyu mtu yupo serious. Ila pia mtu akisema akuache akaolewe na mwingine mwenye utayari wa ndoa mnalaaani hao; na kuomba huko alikokwenda aachike. Siku ukisikia ex wako ndoa imemshinda unafanya sherehe as if una uhakika kuwa ungekuwa naye mngeishia ndoani. Hamna jema baadhi yenu na bila hata kujua kuwa sometimes likuepukalo lina kheri nawe.
 
Kuna kuvumilia miaka mingi hiyo kwa sababu unaona kabisa kwa wakati huu Mimi na mwenzangu haitowezekana kufunga ndoa kwa sababu ya shule, mipango n.k.. Ila pia mtu akisema akuache akaolewe na mwingine mwenye utayari wa ndoa mnalaaani hao; na kuomba huko alikokwenda aachike. Siku ukisikia ex wako ndoa imemshinda unafanya sherehe as if una uhakika kuwa ungekuwa naye mngeishia ndoani. Hamna jema baadhi yenu na bila hata kujua kuwa sometimes likuepukalo lina kheri nawe.
Na kwa nini mnajiingiza kwenye mapenzi wakati bado mnasoma?
 
Huyu mwanamke bonge la genius...alikuwa anajua kabisa kuwa duniani principle ni kwamba mwanaume anahudumia mwanamke anatoa mbususu
Tatuzo ya wanawake wengi wanataka kupiga wanaume mizunga alafu mbususu hataki kutoa.
Kwa hiyo huyo ndiyo mke mwema na hajatumika kuliko hawa singles wa 30s?
 
Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.

Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.

Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.

Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.

Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.

Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
Hao mm ndowangu Sasa kwanza wapo chipu sana ukiwa na dagaa tu ukampelekea anakupa yote habakishi hata chenji
 
Miaka 30 mbali akishazaa tu halafu baba wa mtoto magumashi utamuonea huruma..wewe tafuta mwanamke yeyote aliyezaa kwa sasa na aliyetelekezwa na mtoto ambaye alikukataa/kupiga chini enzi hizo kwa sababu za kijinga kama kipato n.k mwambie nataka kuishi na wewe majibu utayapata..Hii pisi ilikuwa inaringa hatari ni design ya Wema Sepetu enzi hizo siku hizi anataman miracles ihappen!😂

View attachment 2203793
Neema kachokaaaaaaa
 
Alikuwa na wanaume zaidi ya watatu wakati huo; ndiyo mmoja akatangaza ndoa; so hajatumika sana huyo na ana tabia njema ya wife material?
Unajua tatizo lenu lipo sehemu moja....ishu sio idadi ya wanaume anao juggle kwa wakati mmoja ishu ni kwamba unagegedwa kabla ya ndoa.

Hukukutokugegedwa na wanaume wengi ni maamuzi yako wewe mwanamke lakini bado una kosa sifa za wife material as long as unagegedwa kabla ya ndoa.

Same applies kwa mwanaume. Mzabzab nagegeda wanawake labd arobani kwa mwaka mwengine anagegeda mmoja huyo huyo mwaka mzima. Hapa sie wote ni wazinzi tuuna hatuna sifa za kuwa husband material
 
Back
Top Bottom