Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Usahihi wa mtu ni upi?

Kubali tu wanawake wengi walioshindwa kuolewa walijipa mategemeo makubwa na waliwakataa wanaume waliohitaji kuishi nao..


Mungu huyu acheni tu! Acha waendelee kula jeuri yao
Kweli kabisa. Humu jf kuna watu wanashusha nyuzi kama wanatuona. Nina wanawake wawili mimi kazi yangu kuwapelekea moto tu ninapohitaji. Nilitaka kuishi nao wakanikataa. Ilikuwa ni nyakati tofauti. Sasa sijui.wamestuka nini, mimi nilishawatoa kwenye mawazo wao ndio wanakuja kichwa kichwa. Nikaona isiwe tabu. Basi nikijisikia naita tu nampiga nao basi anaenda. Sualq la kuishi limeshatoweka.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ndio lilobaki kufanya kaka. Wao wakiileta unasasambua mbususu basi.
Hao walishaonyesha hawafai kwa matumizi mingine zaidi ya ngono
 
Mkuu kinachozungumziwa hapa ni number tu haimanishi kuwa hawapo ila ni wachache mno
 
Bado kama hujaolewa unaoneka kuwa muhuni kwa Africa haijalishi uko je ila kama huna ndoa thamani yako ni 0
 
Hapa wa nazungumzia ndoa sio uchumba sugu mtu sahihi ukiondoa hisia na kutumia akili utamjua tu japo binadamu wanabadilika kulingana na mazingira ila kwenye vigezo ndipo wanawake wengi wafail wanaume wengi tu natamani wanawake wa muonekano na tunajua kabisa kuwa your beauty is temporarily.
 
Bado kama hujaolewa unaoneka kuwa muhuni kwa Africa haijalishi uko je ila kama huna ndoa thamani yako ni 0
Nyie ndio lnawafanta wanawake waingie kwenye ndoa za mateso kwa kuitizama jamii. Thamani ya mwanamke haishuki sababu kaolewa au hajaolewa. Kujiheshimu na mchango wako kwa jamii ndio vinaleta heshima.
 
Nyie ndio lnawafanta wanawake waingie kwenye ndoa za mateso kwa kuitizama jamii. Thamani ya mwanamke haishuki sababu kaolewa au hajaolewa. Kujiheshimu na mchango wako kwa jamii ndio vinaleta heshima.
Mkuu kama hukuweza kupitia kwenye ndoa huyo thamani yake ni sifuri, hakuna taasisi ngumu kuiongoza kama ndoa kwa jinsia zote mbili ndoa ni heshima mkuu sema kwa asilimia kubwa wanawake wanafail sababu wanatumia sana hisia kuliko akili. Wengine shida ndio zinawapelekesge
 
Aaa wapi. Ndoa zenyewe hizi ambazo nyingi zimeshakufa, talaka kila kukicha. Thamani ya mtu sio kuolewa , kuna waliooa au kuolewa na hawaheshimiki. Oa au kuolewa ukipata mwenza sahihi na sio kwa ajili ya kupata heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…