Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.
Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.
Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.
Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.
Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.
Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
Tunazunguka weeee lakini ukweli unabaki kwamba kinachomfanya mwanamke awe mke ni "submissiveness" yaani "utii" sio umri wala makololokolo mengine haya ninayoyasikia sikia yakitajwa. Ile hali ya Mwanamke kujua kwamba anapaswa kujikabishi kwa mamlaka ya mume ndiyo waoaji wengi wanaitafuta sana wanaposaka Mke.
Mwanamke yeyote (bila kujali vigezo vya kijinga jinga kama umri n.k) ambaye analitambua na kuliishi hili maishani mwake huyo kupata wa kumuoa its just a matter of time.
Wanaume wenzangu,nani hapendi raha ya kufanywa "Mfalme" kwenye "Empire" yake?. Shida wanawake wengi bila kujali umri wamepotoshwa na propaganda za kihuni za dunia hii badala ya kushikamana na mafundisho matakatifu ya Muumba wao.
Mwanamke mwenye submissiveness ukigusa unanasa mazima. Unamwachaje mwanamke anayekufanya ujione mfalme aisee?.
Kuna binti mmoja huyu namfanyia assessment moja matata sana na kama ataendelea kunitreat kifalme hivi naandaa fungu mwaka huu sitakubali uishe naweka ndani chap ili nijinenepee zangu niwe naitwa "Ticha Bonge".
ANGALIZO; Ikitokea nimemuweka ndani halafu akapoteza sifa hii muhimu na kuanza kuleta "mazoea" basi ndoa itakufa kibudu chap pia.
Nasikia wanaume tunakufa mapema moja ya sababu ikiwa ni stress hasa za mapenzi. Binafsi kifo cha kibudu kama hicho nilishagoma kitambo sana. Nitakufa siku Mungu akiona aliyoniitia duniani nimeyatimiza lakini sio kufa kwa stress zisizo na kichwa wala miguu.
Hata hivyo siwashauri wanawake mjikabidhi kwa wanaume ambao hawana sifa hizi muhimu;
1. Upendo
2. Akili
Mwanaume akikosa sifa hizo hapo juu ndio wale mnaanzaga kuwaita "mbwa".
Hata hivyo neno langu sio sheria we ukitaka jilipue tu na yeyote anayepumua lakini usisumbue watu ukikumbana na matokeo ya maamuzi yako.
Nyege ni za kila mwenye afya njema ila Ndoa sio ya kila mtu