[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi mbususu yenyewe imebidi niichungulie kama ipo, isije ikawa imetoweka pia[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi mbususu yenyewe imebidi niichungulie kama ipo, isije ikawa imetoweka pia[emoji23][emoji23]
Sura nayo muhimu tusije zaa mazombi. Vigezo vyote vikiwepo sio mbayaKwa hiyo unaoa kwa kuangalia sura?[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Utanielewa tu 🤣🤣Umesema nn,?[emoji23][emoji23][emoji23] Sijakuelewa ngoja nikiona mwezi leo nitakuelewa
Sure mkuuMkuu ukiwa ma cheo na heshima sio kuwa watakuheshimu hapana watakuwa wanafiki kwa sababu unauwezo wa kufanya kitu, yote kwa yote kwa tamaduni zetu ndoa ni jambo la heshima sana japo tunalichulia kwa wepesi
Ngj nikae kimya tu[emoji851]Sura nayo muhimu tusije zaa mazombi. Vigezo vyote vikiwepo sio mbaya
selective is the source of all evils[emoji16]Utanielewa tu [emoji1787][emoji1787]
Mhh wewe😇Maisha yanapaswa kubadilika. Sasa unataka wanawake waishi maisha sawa na babu/baba zao?
Ndiyo maana wanataka mtu atakayewapandisha hatua Fulani mbele zaidi.
Mm nina 31 lkn wanaume wanaruka na kukqnyagana wakinitafuta
[emoji2][emoji2] kila hatua duaMwaka huu hauputi sijagonga 30 mkuu, nishakua kibibi siaminii[emoji23]
We danganya wenzako tu!!Psychological set up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Hiyo inajulikana, kwa sababu ukiwatongoza hawasumbui....Mi binafsi niweke tu wazi females above 30 ndio interest yangu.
Fainensho sevisesiKabisa sitoumia tena.
Mi nikipata kahela ka kununua zile juisi ya kufyonza kwa mrija tu hewalaaa. Nasikia raha kwerikweriMafanikio ni dhana pana sana, inategemeana mtu ana-define vipi mafanikio yake.
Mtu mwingine mafanikio kwake ni kuwa na madaraka ya kuweza kuwaongoza wengine, kwahiyo mtu huyu hata angalikuwa na pesa kiasi gani bado ataona hajafanikiwa.
Mtu mwingine mafanikio yake ni kuwa maarufu Kama akina Diamond, Obama nk, hata angekuwa na vitu vingine vingi bila ya kuwa maarufu ataona hajafanikiwa.
Na mafanikio mazuri ni yale ambayo mtu alijiwekea malengo yeye mwenyewe, na sio kufuata mitazamo ya jamii au watu wengine, lazima uwe na kipaumbele chako au dira yako inayokuongoza kufikia mafanikio yako.
Mafanikio kwa mlengo wa kuridhisha jamii fulani yanaweza yasimpe mtu furaha ya kweli.
Tunazunguka weeee lakini ukweli unabaki kwamba kinachomfanya mwanamke awe mke ni "submissiveness" yaani "utii" sio umri wala makololokolo mengine haya ninayoyasikia sikia yakitajwa. Ile hali ya Mwanamke kujua kwamba anapaswa kujikabishi kwa mamlaka ya mume ndiyo waoaji wengi wanaitafuta sana wanaposaka Mke.Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.
Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.
Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.
Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.
Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.
Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
Usikae kimya mkuuNgj nikae kimya tu[emoji851]
Selective kama selective sio mbaya lakini ukiwa too much selective Hii ndio mbaya utajikuta unakosa hata watu sahihi kwenye maisha yakoselective is the source of all evils[emoji16]
Yes mambo mkuuFainensho sevisesi
Safi kabisaYes mambo mkuu
humu ndani kuna pisi kali wabejaYes mambo mkuu