Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

We mwenyewe texting game hujui, SMV imeshuka ila bado anapower over you[emoji16]
 
Hold on guys,sisi wote watanzania haina maana kukumbushiana mapungufu yetu na kutakiana mabaya,potezea let it go kuna watu tumeumizwa na wenye mamlaka wanaoweza kusema japo kijana huyu awe hivi ila kimya,fresh tunaishi.
 
Only one thing matters to women, HIGH STATUS, mwanaune kama ni average haina haja ya kulalamika ukikataliwa, sijui usubiri afikishe 30 kachoka ndio akuone . Just Stretch out to be at the Top of your game. If ya not at the top, you're invisible bro.
 
Tuwe wakweli wanaume.
Je huwa tunawataka kuwaoa wote au kuwala na kuwaacha?
Lawama zingine tunawasingizia bure[emoji28][emoji28]
 
Usidate Mwanamke above 25yrs

Date from 18years to not more than 24years
Mwanaume una sexual market value (SMV) kubwa hadi unakufa uzeeni

Jiweke fit utakula hata watoto wenye 18years at 70years your age, cha msingi asiwe mwanafunzi basi
Mawazo mabaya sana.
Unawadharau mama zetu, dada na binti zetu.
Uzao wako utadharaulika vilevile
 
Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Wanawake wamelike Hii comment kwa Kasi ya nyumbu sema Ushimen ndo mvulana pekee aliejitokeza.

Wanaume na sio wavulana tumekausha tu.
 
Ni kweli ndoa ni nzuri lakini ni muhimu uingie kwenye ndoa na mtu sahihi. Usioe kwasababu umri umekwenda is kwasababu uliyekutana nae ni mtu sahihi kwako.
Nafikiri wachangiaji wengi ni wavulana.
Hii inamaanisha mwanamke akitongozwa tu atoe mzigo. Hii sio sahihi, mwanamke ni lazima abane mapaje ili aheshimike sio kumpa kila mtu.
 
Tatizo kiafrika kuoa/olewa kunahesabika kama "mafanikio" katika maisha. Hata uwe na hela vipi, kama hujaoa/olewa bado watu watakuangalia kama mtu ulie feli maisha..! Unaonekana mhuni tu..

Ni kweli,Kitanzania mwanamke ambaye hajaolewa thamani take inashuka zaidi aakiwa na maendeleo. ataonekana ni malaya tu hata hizo fedha ni wanaume wamemuwezesha.sijui hizi fikra zinatokaga wapi.utasikia unamuon yule maza kuna wanene wanakula pale ndiyo waliomuwezesha kumiliki yale mavitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…