Unamaanisha nini? 65 M vs 20 F haiwezekani?Inategemea age yako mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nini? 65 M vs 20 F haiwezekani?Inategemea age yako mkuu!
Hiyo inawezekana..Unamaanisha nini? 65 M vs 20 F haiwezekani?
Inategemea age yako mkuu!
Au sio[emoji23]Hii vita tunaiobserve from a distance
We mwenyewe texting game hujui, SMV imeshuka ila bado anapower over you[emoji16]Miaka 30 mbali akishazaa tu halafu baba wa mtoto magumashi utamuonea huruma..wewe tafuta mwanamke yeyote aliyezaa kwa sasa na aliyetelekezwa na mtoto ambaye alikukataa/kupiga chini enzi hizo kwa sababu za kijinga kama kipato n.k mwambie nataka kuishi na wewe majibu utayapata..Hii pisi ilikuwa inaringa hatari ni design ya Wema Sepetu enzi hizo siku hizi anataman miracles ihappen![emoji23]
View attachment 2203793
Uzi unachoma huu, ila muhimu uhai🙄financial services pita huku mzee Mwenzangu
Tuwe wakweli wanaume.Huu ni ukweli mtupu. Japo ni mchungu kwao. Kuna pisi kale niliifukuzia sana pindi tunasoma chuo ikanikatalia kabisa. Nilitumia njia zote za ushawishi ikagonga mwamba. Nikaachana naye nikaendlea na mambo mengine. Na hata tulipomaliza chuo bado aligoma kipindi hicho Sina kazi.
Mungu si athuman nikapata kazi kwenye kampuni ya kichina baada ya mwaka mmoja wa kuhitimu. Mambo yakawa sawa. Akaja akapata taarifa baada ya miaka 4 alirud kwa speed 4G. Nikawamwambia nitakukula ila sitakuoa. Akakubali. Nikagundua huyu sio wife material. Na kipnd hicho Mungu akanisaidia nikapata wife material. Leo anaelekea 35 Hana kazi na bado hajaolewa.
Kila sku ananisumbua nizae nae hata mtoto mmoja tu. Nami naruka aisee. Make nikimzalisha na Hana kazi itakula kwangu. Kila siku anabaki kunilaumu tu.
Ushauri. Mnapokua mko umri wa Sokon tumie mda huo kupata wanaumme. Mnaweka vigezo ambavyo hata kwenu havipo. Unataka mwanaume mwenye gari ili hali babako Hana hata baiskel
Ni mama na dada zetu ujue.Nimesema wanawake sio wa kuhurumia acha wapgike mpaka akili ziwakae sawa.
Mawazo mabaya sana.Usidate Mwanamke above 25yrs
Date from 18years to not more than 24years
Mwanaume una sexual market value (SMV) kubwa hadi unakufa uzeeni
Jiweke fit utakula hata watoto wenye 18years at 70years your age, cha msingi asiwe mwanafunzi basi
Noma sana!Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Wanawake wamelike Hii comment kwa Kasi ya nyumbu sema Ushimen ndo mvulana pekee aliejitokeza.Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Nafikiri wachangiaji wengi ni wavulana.Ni kweli ndoa ni nzuri lakini ni muhimu uingie kwenye ndoa na mtu sahihi. Usioe kwasababu umri umekwenda is kwasababu uliyekutana nae ni mtu sahihi kwako.
Tatizo kiafrika kuoa/olewa kunahesabika kama "mafanikio" katika maisha. Hata uwe na hela vipi, kama hujaoa/olewa bado watu watakuangalia kama mtu ulie feli maisha..! Unaonekana mhuni tu..