Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.

Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.

Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.

Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.

Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.

Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
 
Tatizo kiafrika kuoa/olewa kunahesabika kama "mafanikio" katika maisha. Hata uwe na hela vipi, kama hujaoa/olewa bado watu watakuangalia kama mtu ulie feli maisha..! Unaonekana mhuni tu..
Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
 
Nimekutana nao kwenye semina ya afya mmoja amesema kwa uchungu nanukuu "Wanawake tupo wengi kuliko wanaume, inatulazimu tukubali tu hata kama ni waume za watu maana mahitaji ya kimaumbile hatuwezi kushindana nayo, lakini tunaumizwa sana, huko tukienda inabidi tujikinge, kinga zenyewe zinatupa mateso maana sijui zinapitia wapi zinatuwasha ni majanga tu" alisikika mhanga akilalamika
 
Huu ni ukweli mtupu. Japo ni mchungu kwao. Kuna pisi kale niliifukuzia sana pindi tunasoma chuo ikanikatalia kabisa. Nilitumia njia zote za ushawishi ikagonga mwamba. Nikaachana naye nikaendlea na mambo mengine. Na hata tulipomaliza chuo bado aligoma kipindi hicho Sina kazi.

Mungu si athuman nikapata kazi kwenye kampuni ya kichina baada ya mwaka mmoja wa kuhitimu. Mambo yakawa sawa. Akaja akapata taarifa baada ya miaka 4 alirud kwa speed 4G. Nikawamwambia nitakukula ila sitakuoa. Akakubali. Nikagundua huyu sio wife material. Na kipnd hicho Mungu akanisaidia nikapata wife material. Leo anaelekea 35 Hana kazi na bado hajaolewa.

Kila sku ananisumbua nizae nae hata mtoto mmoja tu. Nami naruka aisee. Make nikimzalisha na Hana kazi itakula kwangu. Kila siku anabaki kunilaumu tu.

Ushauri. Mnapokua mko umri wa Sokon tumie mda huo kupata wanaumme. Mnaweka vigezo ambavyo hata kwenu havipo. Unataka mwanaume mwenye gari ili hali babako Hana hata baiskel
 
Miaka 30 mbali akishazaa tu halafu baba wa mtoto magumashi utamuonea huruma..wewe tafuta mwanamke yeyote aliyezaa kwa sasa na aliyetelekezwa na mtoto ambaye alikukataa/kupiga chini enzi hizo kwa sababu za kijinga kama kipato n.k mwambie nataka kuishi na wewe majibu utayapata..Hii pisi ilikuwa inaringa hatari ni design ya Wema Sepetu enzi hizo siku hizi anataman miracles ihappen!😂

Screenshot_20220428-150826_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom