Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

She...

Nowadays she's looking like this. How would I resist the feeling of waiting.[emoji8][emoji3531]

5373y381i91u3363i2i1.jpg
 
Wanawake wanaolewa mpaka 35. Mm nimeshuhudia. Wengine wanaachwa na watoto leo kesho posa mpya inapelekwa na ndoa mpya inafungwa. Maisha hayapo fixed, kila mwanamke ni unique kwa namna yake. Tusihitimishe, exceptional zipo tena za kutosha. Hao vilizi wa ndoa mnao kutana nao kila sehemu wanatakiwa kubadili fikra.

Binafsi nilikutana na mama watoto akiwa katika pilika za kukuza kipato na alikuwa mtu mzima tayari, above 30 na mm nikiwa na siasa zangu za maisha, leo tuna mitoto mikubwa na ndoa ipo imara hatuna tatizo.
Kwani kinacho semwa hapa mini?
 
Nimeshuhudia mara 2, ya kwanza ana miaka 40 kaolewa tena ndoa ya kanisani Kwa mara ya kwanza, Hana mtoto ata 1.

Mara ya 2 ndoa ni mwaka huu mwez wa 10, mwanamke ana miaka 33 Ila ana mtoto mmoja. Haya mambo hayatabiriki bhn lkn kutwa kukaa na kuwasema wanawake kuwa walipoteza bahati

Je wale ambao wanavumiliwa Toka hawana kitu, mpaka anakuja kuwa na kitu, alafu akishainuka anakuja kuolewa mtu mwengine, yule aliyevumilia tabu na shida anaonekana mchafu ananuka, Hana thamani tena. Lkn hili wanaume hawaliongelei kbs. Unamsubiri Mtu 5 to 6 yrs unavumilia shda zote lkn siku akipata mafanikio unastukia anaolewa mwenzio, tumeshuhudia sn tu izi mambo lkn si wanaume wote Wana hizi tabia.

Wanawake wengine mnawasingizia tu kuwa eti alikuacha kisa huna kitu, je? Hao wote mlikuwa na Nia ya kuwaoa jamani?, Sio mwsho wa siku umepata mafanikio unamuona hajui kutumia unamtft yule mtu ambaye hajui ata izo pesa umetumia nguvu gani kuzitafuta.

Na elewa kuwa usitake Kila mwanamke akakuelewa maana Kila mtu ana aina ya mtu anayemtaka, maana ata wanaume Wana watu wanaowataka, mala namtaka mwenye kiuno mbinuko, mala namtaka mwenye wowowo, mala namtaka mwembamba na apo Kuna wengine mnawachezea tu. Anafikisha mpk 28 yrs anakusubr ww but end of the day unamkacha unaenda oa mwengine.
Hao wengine mnaumia kwasbb mliwapenda, laiti ungekuwa humpendi bs ata usingekuwa na muda wa kumkumbuka usingekuwa nao. Ni kweli Kuna wadada Wana majibu machafu ambayo si vzr kumjibu mtu km humpendi na Kuna wengine huwa wanapoteza bahati wenyewe Kwa kuwakataa hao wanaume wenye malengo nao kiukweli. Uwe unacho, uwe huna km amekukataa bs jua hakupendi na hukupangwa kuwa nae usifosi, lakini km umempata wa kupendana nae Dunia hii ni jambo la kushukuru Mungu, dumisheni penzi lenu tu lkn mambo ya kuzogoana kuhusu umri si vyema. Kila mtu ana wkt wake wa kuanzisha familia yake.
Imekuuma na ww ni mhanga nini?
 
Naendelea...

Sisi Wanaume wengi wetu tuna mahitaji madogo na machache yanayofanana linapokuja suala la Ndoa. Lakini sio kwa nyinyi wenzetu Wanawake kwakua mna mahitaji mengi tena makubwa na yanayokinzana na wengine hivyo kupeleka mchafuko na vurugu sana.

Mimi binafsi nina 36 now na sijaoa mpaka sasa. Ila ninayempenda na kutamani kumuoa na kuishi nae ana 42 na ameshaolewa na mtu mkubwa tu Serikalini kwasababu ya ushawishi wa Wazazi na Nguvu ya Fedha.

Ni miaka 14 sasa tupo kwenye Mahusiano ya Siri tena yenye Mapenzi Mazito na Makubwa Mno. Tulikutana mimi nikiwa University nna 22 na yeye akiwa na 27/28.

Tulipenda sana na hasa ukizingatia yeye alikua jamaa ya watu wa nje hawa Waarabu hawa lakini ni Full Wife Material kabisa yaani Msafi sana Aaf, yule ambaye anakua kama BiMkubwa wako full kukulea, shughuli zote za nyumbani anajituma sana alafu Mkimya sana yaani Dini kwa sana na anajua kujistiri mno na chumbani ni Motoo kama ana jini Mahaba.

Taikon nlikua sina maisha at that time... Chuo kigumu na ukizingatia home kwetu kawaida sana. Akanitangazia kuwa anatakiwa aolewe na kwao yeye ndiye 1st born kwahiyo hawezi kurukwa lazima aanze na Mzee wake keshapokea barua 3 za wenye Nia. Daah!! Ilikua habari mbaya lakini sikua na budi nikakubali tukakubaliana 'Mambo flani flani' hata uchaguzi wa nani kati ya hao wa3 nikamwambia yupi atatufaa katika misheni zetu.

Mungu Mkubwa Wajameni: 2cut the story short ni kwamba sasa hivi ana watoto 4, wawili wangu na wawili wa Jamaa na maisha na Mapenzi yanaendelea vizuri sana, kila siku ni bora kuliko jana.

Hatumuombei Jamaa mabaya ila akidanja mimi ndiyo ntachukua Mwali wangu mapema sana maana sasahivi niko Njema Alhamdulillah.

Kwenye haya Maisha kilamtu ana Kipaumbele Chake.

Tuheshimu vipaumbele vya wengine.

Nowadays she's looking like this. How would I resist the feeling of waiting.[emoji8][emoji3531][emoji257]View attachment 2204873
Na ukianza kufa wewe au huyo mwanamke? You are so proud na kupanda kwenye shamba la mwenyewe; watoto wawili ambao inawezekana hadi unakufa haitotokea wakuite baba; hamna huruma na damu zenu?
 
Aissee nimesoma habari nyingi humu ila hii duuu nakosa cha kusema
 
Kabisa dada, si vizuri kumuombea mtu mabaya. Na iyo yote inatokana na bado wanawapenda ndiyo maana wanatazamia kupata majanga iwe ndiyo furaha yao Kila siku..... Hakuna sehemu iliyosema kuwa aliyeolewa 20s ndiyo mtakatifu Sana au ndo amejitunza au aliyeolewa 30s basi ni kurubembe.

Kuna watu Wana 3os lakini hawajawahi kuguswa ata mara 1 Ila tu bado hawajapata bahati ya kukutana na wale waliopangiwa kuwa Mume wake.
Nyie kweli bitterness inamuumiza zaidi aliyeibeba kuliko aliyebebewa. Imagine mtu uliachwa huko zamani, umeendelea na maisha yako, Mungu kakujaalia umepata mke; hadi unaanza kufuatilia yanayoendelea kwenye maisha ya ex: upo fulfilled/contented na maisha yako kweli? Mbona ni kama pamoja na vyote ulivyonayo bado huna furaha/ kuna kitu kinamiss na ndiyo huyo ex unayekaa kumfikiria badala ya kuwafikiria watoto wako na wanao?

Ok ex alikukimbia, sasa hivi amezalishwa na hajaolewa; kwako wewe binafsi inakuongezea nini? Kwamba it makes you a better person than her? Angekuwa ameolewa, usingekuwa a better person?
Seriously mume wa mtu unasikia ex wako kazalishwa eti unatafuta kumtega ili tu akionesha kukutamania upate furaha, ujione wewe ndiyo umeyapatia maisha.... Kweli uchungu unapunguza hata uwezo wa kufikiri.

Kuzalishwa ni mwisho wa maisha au ni ulemavu useme kwamba eeh sasa kapatikana?. Mbona mtoto ni baraka kubwa mnooo; married couples kibao wanahangaika kutafuta watoto. Nikute mume wangu anafanya huo utopolo, mbona ntamrudisha kwao akapumzike kwanza apate na akili[emoji16][emoji16][emoji16]

Tujifunze kusamehe, tusonge mbele kwa amani na maisha yetu. Otherwise tutabarikiwa wee ila hatuto-appreciate baraka zetu maana tupo busy kusubiri mabaya yawapate wale waliotuacha. Sad.
 
Kabisa dada, si vizuri kumuombea mtu mabaya. Na iyo yote inatokana na bado wanawapenda ndiyo maana wanatazamia kupata majanga iwe ndiyo furaha yao Kila siku..... Hakuna sehemu iliyosema kuwa aliyeolewa 20s ndiyo mtakatifu Sana au ndo amejitunza au aliyeolewa 30s basi ni kurubembe.

Kuna watu Wana 3os lakini hawajawahi kuguswa ata mara 1 Ila tu bado hawajapata bahati ya kukutana na wale waliopangiwa kuwa Mume wake.
Kuna watu wapo 30s na hawajawahi kuguswa hata mara moja kweli? Mmmh

Sema wa namna hiyo hapana aisee, mtu akiwa 30s awe na experience kidogo bwana[emoji3][emoji1787]
 
Kwa wale waliojifanya wa level za juu na kukataa wliowapenda! Ukiona unakuchoma jua kuwa nawewe ni mmoja wa walengwa.
Ahsante baba ziba , nimeyapokea matokeo ya matendo yangu ya kujifanya level za juu na kuwakataa walionipenda, nini kifanyike sasa kuninusuru ndugu yako? Au unaniacha niteseke??
 
Na ukianza kufa wewe au huyo mwanamke? You are so proud na kupanda kwenye shamba la mwenyewe; watoto wawili ambao inawezekana hadi unakufa haitotokea wakuite baba; hamna huruma na damu zenu?
Maisha Kamari.
 
Kuna watu wapo 30s na hawajawahi kuguswa hata mara moja kweli? Mmmh

Sema wa namna hiyo hapana aisee, mtu akiwa 30s awe na experience kidogo bwana[emoji3][emoji1787]
[emoji23][emoji23] naona umeanza na kunicheka. Kweli wapooo. Unafungua bokx mwenyewe [emoji2957]
 
Ila tuache utani wanawake aged ambao umri umeenda ni watamu na akili ziko tayari kimaisha kuliko hivi vitoto vidogo!

Mimi Nina asilimia kubwa Sana ya kuoa MTU nzima.

NB: Msije kukupigia mawe wanaume wenzangu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom