Wanawake wakija ghetto kwa kazi maalumu wakiona mafuta ya kila aina wanafurahia sana

Wanawake wakija ghetto kwa kazi maalumu wakiona mafuta ya kila aina wanafurahia sana

Hello hello JF!
👇👇👇
Katika hali ya kuduwaza na kufurahisha, kitambo sasa nashuhudia wanawake wanaokuja ghetto kwangu kwa kazi maalumu ya kitume na kimaombezi nimeona kuna jambo linawafurahisha sana hasa tu wakiona mafuta ya aina nyingi ya kupaka kwenye dressing table.
1.Lotion aina 4
2. Mafuta ya mgando aina 3
3. Mafuta ya nywele aina 3
4. Mafuta ya kupikia Sundrop na ya Singida.
5. Mafuta ya general usage
6. Asali lita 3 za nyuki kubwa na nyuki dogo dogo.

Nimetafakari sana sana naombeni mnisaidie kuna mahusiano yoyote Kati ya uwepo wa mafuta na furaha yao.

Naendelea kustaajabu baadhi wanasema Ila we kiboko umejipanga hivi hadi raha.

Karibuni kwa shuhuda zenu hasa maajabu ya wanawake kufurahia mafuta.

Nawasilisha.
🙏🙏🙏

Wadiz.
Kwahiyo wanapenda mafuta hawakupendi wewe? Great thinkers wa JF.....
 
sawa ubunifu ndio sikatai,, ila ndo kufurahia mafuta tu[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]

Si pengine ubunifu huendana na vitendea kazi , kama vitendea kazi hamna utaanzaje kufurahia.
Anyway nyie mnalo jambo lenu hamtaki kutushirikisha
 
Miaka ya nyuma kipindi Cha ubachela Kuna mshkaji wangu alikua ananiazima ghetto Kila akitaka kuchepuka maana yeye alikua kashaoa, nikisafiri namuachia funguo... Sasa jamaa alikua Kila akija na Dem ananunua mafuta sijui Gani bana yameandikwa kiarabu, kwenye kikopo ni mengi kweli... Cha kushangaza mafuta yakawa yanabaki ila Kila akija analeta mapya... Siku nikamuuliza akacheka tu akaniambia ya massage mi nikapotezea


Kuna kipindi vikafika vikopo kama 8 afu vyote vina mafuta nusunusu, nimeviweka kwenye dressing table tu... Siku Kuna Dem kaja gheto akaniangalia sana afu kwa upole akaniambia "we mwanaume usije ukani**ra tu" nikashtuka nikamuuliza kwanini akasema "maana hua sikuelewi Kila nikija nakuta makopo ya haya mafuta ya kiarabu yanaongezeka tu"

[emoji28][emoji2][emoji2]
Hahaha, mkuu kwaio jamaa alikua anatumia getto lako, kitanda na godoro lako kutitundulia tope

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Si pengine ubunifu huendana na vitendea kazi , kama vitendea kazi hamna utaanzaje kufurahia.
Anyway nyie mnalo jambo lenu hamtaki kutushirikisha
aisee me hamna ninachokijua😂😂
 
Back
Top Bottom