Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
huna jipya.
Wewe je hayajakukuta bado?
wasioua waumezao kwa ajili ya mali!ebu tuambie ni wanawake wa kabila lipi wanafaa kuoa?
ha! Mi nilikua natarajia kufunga ndoa na bibie wa kimachame dec 28 niahirishe nini?
Mwanamke asiyependa PESA karne hii HAFAI KUOLEWA achilia mbali kuwa nyumba ndogo!
kabukta ulikovaa kama maskio!vyote nimevaa mpaka vya ziada halafu na meno nimenoa, hapa namsubiria eksi gelo aje!!!
Khaaa! Yamekuwa hayo tena???
Walah tena mie niko upande wako kwa shida na raha mpaka kifo kitutenganishe..
si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au ufe au mtengane mgawane atafute dogodogo, alafu niwakorofi balaa hawafai aisee labda aolewe na mmachame mwenzie.
wote kasoro wamachame
kabukta ulikovaa kama maskio!
Wewe huna lolote, inaelekea umepitwa na wakati halafu umeshachelewa kuoa kwa hiyo unatafuta sababu! Hayo mambo ya kuoa, kuuana, kugawana Mali yapo kila mahala na kwenye kila kabila! Au unataka kusema hujawahi kusikia kesi Kama hizo zaidi ya huko machame? Mnafiki tu Wewe umekosa cha kuandika naona!
wanaume wajaneso, hakuna wamachame wanaume ambao ni wajane??
Mwanamke asiyependa PESA karne hii HAFAI KUOLEWA achilia mbali kuwa nyumba ndogo!
ni kwa vifo vya kawaidaso, hakuna wamachame wanaume ambao ni wajane??
kumbe we mrangi? Ndo manasidanganyiki.....tena we nitakurushia lile jiwe kubwa!! Alafu bado nina hasira na wewe, ulitusingizia sie warangi!!!
ukweli unauma?Wewe huna lolote, inaelekea umepitwa na wakati halafu umeshachelewa kuoa kwa hiyo unatafuta sababu! Hayo mambo ya kuoa, kuuana, kugawana Mali yapo kila mahala na kwenye kila kabila! Au unataka kusema hujawahi kusikia kesi Kama hizo zaidi ya huko machame? Mnafiki tu Wewe umekosa cha kuandika naona!
KAMA NI KWELI ISISEMWE? ukweli ni ukweli hata kama unakugusaWatu wengine mi huwa nawashangaa sana, kuna mmoja aliandika eti wakinga wanawafanyiaga ikemefuna a.k.a kafara, mara utasikia wanawake wa kabila flani wachawi, sijui wana nini.......khaa mradi blah blah tu!!! Honestly, ni makabila mangapi watu wanafanya huu mchezo mchafu hata tuwasingizie wengine tu?? Tabia sio uniform kama sare za shule ambayo ni lazima kila mwanafunzi avae achilia mbali kuwa nayo!!!