Wanawake wakimachame si wakuoa!

Wanawake wakimachame si wakuoa!

Mtasema sana mkichoka mtalala ndio kwanza tunakimbiliwa,proudly machame lady no regrets,unajua kuua kila m2 anaweza ila mpaka awe amesukumwa umbali huo,endeleeni kutupaiza halafu love is blind na ukipenda hata ufanywaje hutoki kwa hyo acha kupoteza muda m2 ukimpenda sidhani kama hata akikuambia nauaga utakimbia,
 
ha! Mi nilikua natarajia kufunga ndoa na bibie wa kimachame dec 28 niahirishe nini?

No usiache fanya hivyo ili uwe sample kwa watu wa jf ujetuletea feedback baada y muda au baada ya kuchuma
 
Mwanamke asiyependa PESA karne hii HAFAI KUOLEWA achilia mbali kuwa nyumba ndogo!

Wote wanapenda ila hawa wamezidi kwani kama habari isemavyo hapo juu wapo teyari kuuwa au wavunje ndoa ili mgawane mali
 
Khaaa! Yamekuwa hayo tena???

Walah tena mie niko upande wako kwa shida na raha mpaka kifo kitutenganishe..

Sidanganyiki.....tena we nitakurushia lile jiwe kubwa!! Alafu bado nina hasira na wewe, ulitusingizia sie warangi!!!
 
si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au ufe au mtengane mgawane atafute dogodogo, alafu niwakorofi balaa hawafai aisee labda aolewe na mmachame mwenzie.

Wewe huna lolote, inaelekea umepitwa na wakati halafu umeshachelewa kuoa kwa hiyo unatafuta sababu! Hayo mambo ya kuoa, kuuana, kugawana Mali yapo kila mahala na kwenye kila kabila! Au unataka kusema hujawahi kusikia kesi Kama hizo zaidi ya huko machame? Mnafiki tu Wewe umekosa cha kuandika naona!
 
Watu wengine mi huwa nawashangaa sana, kuna mmoja aliandika eti wakinga wanawafanyiaga ikemefuna a.k.a kafara, mara utasikia wanawake wa kabila flani wachawi, sijui wana nini.......khaa mradi blah blah tu!!! Honestly, ni makabila mangapi watu wanafanya huu mchezo mchafu hata tuwasingizie wengine tu?? Tabia sio uniform kama sare za shule ambayo ni lazima kila mwanafunzi avae achilia mbali kuwa nayo!!!
 
Kwa watu wa kanda ya ziwa huwa ni marufuku hasa wasukuma kuoa mwanamke wa kimachame.Ukimuoa ndugu wanakutenga na wanasubili siku ukiuliwa na huyo mmachame wanakuja kuchukua maiti yako tu make vingine c rahisi kuvipata.
 
Wewe huna lolote, inaelekea umepitwa na wakati halafu umeshachelewa kuoa kwa hiyo unatafuta sababu! Hayo mambo ya kuoa, kuuana, kugawana Mali yapo kila mahala na kwenye kila kabila! Au unataka kusema hujawahi kusikia kesi Kama hizo zaidi ya huko machame? Mnafiki tu Wewe umekosa cha kuandika naona!
ukweli unauma?
 
Watu wengine mi huwa nawashangaa sana, kuna mmoja aliandika eti wakinga wanawafanyiaga ikemefuna a.k.a kafara, mara utasikia wanawake wa kabila flani wachawi, sijui wana nini.......khaa mradi blah blah tu!!! Honestly, ni makabila mangapi watu wanafanya huu mchezo mchafu hata tuwasingizie wengine tu?? Tabia sio uniform kama sare za shule ambayo ni lazima kila mwanafunzi avae achilia mbali kuwa nayo!!!
KAMA NI KWELI ISISEMWE? ukweli ni ukweli hata kama unakugusa
 
Back
Top Bottom