si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au ufe au mtengane mgawane atafute dogodogo, alafu niwakorofi balaa hawafai aisee labda aolewe na mmachame mwenzie.
huna jipya.
nikweli usemalo lkn tatizo la hawa shemeji zangu mkishachuma nae unaondoshwa au mgawane!
sijui wewe una umri gani na jinsia gani! Muhimu muombe mungu maisha marefu mkuu yeye ndo mtoa punzi tunayoitumia hapa dunian.angalia usije baki mjane umri ukiwa bado mdogowajane ni wengi sana kule
ni kwa vifo vya kawaida
kumbe we mrangi? Ndo mana
Ha ha ha! Mbavu zangu jamani lol... Ngoja nijipange kushusha mistari ya kukuomba msamaha!
nimecheka sana mkuu! kwahiyo hii picha inatufundisha nini?