Wanawake wakimachame si wakuoa!

Wanawake wakimachame si wakuoa!

si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au ufe au mtengane mgawane atafute dogodogo, alafu niwakorofi balaa hawafai aisee labda aolewe na mmachame mwenzie.

Tatizo sio wanawake wa kimachame, ni wanawake wote, ila sio kwamba wanapenda pesa, wanawake wanapenda vitu vizuri, vitu vizuri gharama, kama mwenzetu ndio unajua hili leo, basi kazi unayo! Ukioa wewe hakikisha mke wako anaridhika na unacholeta nyumbani, ama sivyo hutaweza!
 
Nilishawahi kuwa na mwanamke wa kimachame sitakaa ni msahau na nipo kwenye mchakato wa kumpata mwingine kama ni kuchunwa wacha iwe
 
Jamaa amechezea vya mbavu sana,wamachame barabara ndefu mkuu mtoto kazaliwa umeme unawaka sasa wewe unazani utampeleka kwenu bati nyasi taa hadi mchome nyuzi ndo mnapata mwanga.wanawake wakimachame si magoigoi mkuu wanajua kutafuta pesa na wala hakuna kesi za mauwaji kwa wanaume! Na mostly of the family mali ya marehem uwa anasimamia mke na watoto wa marehem kama wapo awana tabia ya kugombania kumpokony mjane mali alzochuma na mmewe.nafkiri ihi ndo ilifanya makabila mengne kuona wanawake wa kimachame ni wakorofi nauakika hadi leo kuna makabila mwanamke akifiwa na mumewe ndugu wanampokonya mali na kumuacha mjane ktk hali ngumu.
 
Mkichuma wote alafu ikatokea ukamzalisha mtoto wa kiume huna chako tena siku za kuishi hapa chini ya jua zitakuwa zinahesabika ndio maana wajane ni wengi sana kule
nikweli usemalo lkn tatizo la hawa shemeji zangu mkishachuma nae unaondoshwa au mgawane!
 
Kipipi, mkifikia hitimisho utaniita. Naenda mudio saa hii...
 
Hizi ni story za zamani! Sasa hivi mambo yamebadilika! Upalestina umeshaisha.
 
Ila sometimes we an not generalise haya mambo, exceptions do exist...
 
Hakuna asie penda pesa na hao wamachame unao wasema basi wako walio na afadhali na roho zao zimewatulia,wifi yangu mmachame na vituko hivyo hana kabisa..
 
SULUHISHO: wewe unayewasimanga wamachame pleas NENDA KAOE KABILA LAKO NA Ni MARUFUKU kuanzia
LEO KUWATONGOZA WAMACHAME
NY*** mbafu xxxxxxooo , we are stars ndio maana tunasemwa sana.
 
Back
Top Bottom