jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au ufe au mtengane mgawane atafute dogodogo, alafu niwakorofi balaa hawafai aisee labda aolewe na mmachame mwenzie.
Tatizo sio wanawake wa kimachame, ni wanawake wote, ila sio kwamba wanapenda pesa, wanawake wanapenda vitu vizuri, vitu vizuri gharama, kama mwenzetu ndio unajua hili leo, basi kazi unayo! Ukioa wewe hakikisha mke wako anaridhika na unacholeta nyumbani, ama sivyo hutaweza!