Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #21
Muhogo ule wa Unga pia hutoa kisamvu mkuu ila upo mtu wa kisamvu Moja Kwa Moja Wala SI Mpira ona picha unavyoonekana japo kiangazi umeuathiriHapo umenichanganya kabisa, mti wa muhogo hautoi kisamvu? Kuna ule mti unatoa matunda yana utomvu mweupe nao unafanana na muhogo na mpira tena je ndio huo? cc Seran