Wanawake walioajiriwa wana msongo mkubwa wa mawazo kuliko wanawake wanaoitwa mama wa nyumbani

Wanawake walioajiriwa wana msongo mkubwa wa mawazo kuliko wanawake wanaoitwa mama wa nyumbani

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa.

In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi.

Huku maofisini kama sio kuishi katika imani ningekuwa naiokota Kama maua sama.

Ukimuona mwanamke haeleweki ofisini ebu trace (fatilia) mahusiano yake.
 
Mbona kama kuwa mama wa nyumbani ni stress zaidi

Kama upo nyumbani tu maana yake kila kitu unaomba....Mungu aniepushe na hiyo stress
 
Kwa walimu ni sahihi kabisa.maana nakamilisha research yangu na matokeo yanaonesha Hivyo.
 
Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa.

In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi.

Huku maofisini kama sio kuishi katika imani ningekuwa naiokota Kama maua sama.

Ukimuona mwanamke haeleweki ofisini ebu trace (fatilia) mahusiano yake.
Wengi wao wanapewa faraja na maboss, ukisikia watu wanalea watoto wasio wao basi wengi hutokea upande huu
 
Yaan mtu ana kazi na kila mwezi anaingiza salary ktk mfuko wake, afu useme ana stress kisa mapenzii?

Wee hauko serious kabisaa!!
 
Back
Top Bottom