God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa.
Hahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hautuokoti hata.
Wengi wao wanapewa faraja na maboss, ukisikia watu wanalea watoto wasio wao basi wengi hutokea upande huuWanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa.
In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi.
Huku maofisini kama sio kuishi katika imani ningekuwa naiokota Kama maua sama.
Ukimuona mwanamke haeleweki ofisini ebu trace (fatilia) mahusiano yake.