Wanawake walioungana mmoja aolewa

Wanawake walioungana mmoja aolewa

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021

Aliyetangaza kuolewa ni Abby Hensel ambaye ni pacha aliyeungana upande wa kushoto ambapo yeye na mume wake wanaishi Minnesota

Abby na Josh walificha ndoa yao na kuifanya siri na sasa wamemua kuweka wazi na kuachia picha za sherehe ya harusi
IMG_0468.jpeg
 
超级截屏_20240329_174237.png
Hii imekaaje wakuu, nimejaribu fikiria nimeshindwa pata jibu.
Sasa mwanaume mwingine akija akioa huyo pacha mwingine si bado atakuwa ana kula pale pale ambapo mume wa mke wa kwanza ana kula?!

Halafu we mwanamke wa Kitanzania, wenzako mapacha wameungana lakini bado wanaolewa, wewe upo hapo umegonga 30+ ila mpaka sasa hivi bado hujaolewa, KWELI?!

Jitafakari hata kama kuolewa siyo lazima.

Uko SINGLE, SINGELI, SINGANGA, SINGENGE, SINGUNGU Yaani SINGLE PROMAX.
 
Back
Top Bottom