Wanawake walioungana mmoja aolewa

Wanawake walioungana mmoja aolewa

naungana nae ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚akifukuzws itabidi aondoke au na yeye akipata mchumba itabidi akaolewe
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kazi kweli kweli.....
 
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021

Aliyetangaza kuolewa ni Abby Hensel ambaye ni pacha aliyeungana upande wa kushoto ambapo yeye na mume wake wanaishi Minnesota

Abby na Josh walificha ndoa yao na kuifanya siri na sasa wamemua kuweka wazi na kuachia picha za sherehe ya harusi View attachment 2948300
Sasa hapo mbona wote wamevaa shela?
 
Haiwezekani yani huyo msela ameona wote
 
Back
Top Bottom