Wanawake walioungana mmoja aolewa

#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021...
3sum ya shuruti inamhusu mwamba hapo
 
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021

Aliyetangaza kuolewa ni Abby Hensel ambaye ni pacha aliyeungana upande wa kushoto ambapo yeye na mume wake wanaishi Minnesota

Abby na Josh walificha ndoa yao na kuifanya siri na sasa wamemua kuweka wazi na kuachia picha za sherehe ya harusi

Credit: EastAfricaTV
 

Attachments

  • IMG_20240329_181440.jpg
    492.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…