Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
ππππππKichwa hichoNa hicho ndio kitakuwa chanzo cha mgogoro. Yaani mtu yupo kwa shemeji halafu anaanzisha vimahisiano vya nje. Tabia za kutoka usiku na kuchelewa kurudi zitamkwaza dada mtu
Unazungumzia k ndogo au K kubwa?Kwani wana kei mbili?
Activation code needed ππKwa hiyo kama wana tupu moja ina maana mmoja hapati hisia
πππππππ Kazi kweli kweli.....naungana nae πππakifukuzws itabidi aondoke au na yeye akipata mchumba itabidi akaolewe
π€£π€£π€£Jamaa ameoa wote kijanja.
Kwani umewaza Nini kiziwiMy mind is very dirty! [emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]Threesome!
Namimi nilikuwa nataka kuuliza.Wana pussy mbili ?
Watatumia mwili huo huo?Hapo lazima watazinguana. Huyu mmoja atafosi aende akatafute bwana huku huyu mwingine atataka atulie na mdau. Hapo lazima watachapana makonde au wataanza kuendeana kwa sangoma
Kwa vyovyote vileSijui inasikitisha, inashangaza au inachekesha
Mkuu naelewa basi unadhaniππWatatumia mwili huo huo?
Mimi inanitisha, hasa suala la kifo linapohusika.Sijui inasikitisha, inashangaza au inachekesha
Sasa hapo mbona wote wamevaa shela?#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021
Aliyetangaza kuolewa ni Abby Hensel ambaye ni pacha aliyeungana upande wa kushoto ambapo yeye na mume wake wanaishi Minnesota
Abby na Josh walificha ndoa yao na kuifanya siri na sasa wamemua kuweka wazi na kuachia picha za sherehe ya harusi View attachment 2948300
K ni K bwashee.Unazungumzia k ndogo au K kubwa?
Acha bangi zakoHapana wana kei moja.
Ila kila mmoja ana hisia tofauti.
Haiwezekani yani huyo msela ameona wote#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021
Aliyetangaza kuolewa ni Abby Hensel ambaye ni pacha aliyeungana upande wa kushoto ambapo yeye na mume wake wanaishi Minnesota
Abby na Josh walificha ndoa yao na kuifanya siri na sasa wamemua kuweka wazi na kuachia picha za sherehe ya harusi View attachment 2948300