ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Ndio Kwa nini wasichange? Bado watachanga wengi zaidi kuanzia wakulima Hadi wachimbaji wadogoNa bado kuna wakuu wa shule za sekondari walichanga pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Kwa nini wasichange? Bado watachanga wengi zaidi kuanzia wakulima Hadi wachimbaji wadogoNa bado kuna wakuu wa shule za sekondari walichanga pesa.
Alizochangiwa leo ataenda kupendeza nazo za kampeni ataingia hapo hazina kujichotea.Ok , kwahiyo hiyo 120m pamoja na kampeni sio ?
Maana kama fomu ni 1m ..mbn wamechanga nyingi sana ..n pia wanaochanga ni wengiAlizochangiwa leo ataenda kupendeza nazo za kampeni ataingia hapo hazina kujichotea.
Hii nchi mbona mihela imejaa kila kona ni yeye tu kwenda kukinga na kisado.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.
Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais.
Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM itachapisha fomu 1 tuu ya Urais 🤣🤣 hivyo wengine wajiandae kupiga kampeni.
View: https://www.instagram.com/p/C4Vbw6jPdGT/?igsh=MXg1ZG45cG9tam5xYg==
My Take
Hongera sana kina Mama kuonesha kwamba Samia anatosha zaidi ya kutosha.
Tukutane Oktoba 2025.
Waliochanga ni wajinga zaidiAlizochangiwa leo ataenda kupendeza nazo za kampeni ataingia hapo hazina kujichotea.
Hii nchi mbona mihela imejaa kila kona ni yeye tu kwenda kukinga na kisado.
Wewe ndio mjinga,huu ni mwaka wa uchaguzi plus next year Sasa wewe unateseka na nini? Hujasikia Kauli ya Sultan wenu Mbowe akisema muanze mchakato? 😂😂Tuna nchi ya kijinga sn, muda wote ipo kwenye kampeni, hizi fedha wangewachangia manesi waliopo pembezoni wanakesha na wagonjwa bila mapumziko
Pitisha bakuli na JF tuchangeNdio Kwa nini wasichange? Bado watachanga wengi zaidi kuanzia wakulima Hadi wachimbaji wadogo
Ni upumbavu tu, kuna shida ya madawati, madawa n.k kuna watu wanachangiwa na Malisa hawana hela za matibabu kwanini wasiwachangie?Maana kama fomu ni 1m ..mbn wamechanga nyingi sana ..n pia wanaochanga ni wengi
Wewe umechangia madawati mangapi? PumbavuNi upumbavu tu, kuna shida ya madawati, madawa n.k kuna watu wanachangiwa na Malisa hawana hela za matibabu kwanini wasiwachangie?
We dada angu huna akili, kwa hiyo mwaka huu anagombea serikali za mitaa?Wewe ndio mjinga,huu ni mwaka wa uchaguzi plus next year Sasa wewe unateseka na nini? Hujasikia Kauli ya Sultan wenu Mbowe akisema muanze mchakato? 😂😂
Muulize mumeo anajuaWewe umechangia madawati mangapi? Pumbavu
Wewe dada huna akili, unaelewa maana ya mchakato na maandalizi?We dada angu huna akili, kwa hiyo mwaka huu anagombea serikali za mitaa?
Wewe mumeo ndio alikudanganya hivyo?Muulize mumeo anajua
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.
Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais.
Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM itachapisha fomu 1 tuu ya Urais 🤣🤣 hivyo wengine wajiandae kupiga kampeni.
View: https://www.instagram.com/p/C4Vbw6jPdGT/?igsh=MXg1ZG45cG9tam5xYg==
My Take
Hongera sana kina Mama kuonesha kwamba Samia anatosha zaidi ya kutosha.
Tukutane Oktoba 2025.
Huna akili, amechangiwa hela ya formWewe dada huna akili, unaelewa maana ya mchakato na maandalizi?
Ulitaka achangiwe mumeo? Ameoa bomuHuna akili, amechangiwa hela ya form
Ni uungwaji mkono tuu na pesa za kampeni,fomu ni mil.1 tuu